Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

Samia ana dharau za waimba taarab.
Kuna Mwandamizi Mmoja kutoka Zanzibar na ambaye kafanya nae Kazi Serikalini na mpaka katika Bunge la Katiba alikuwa nae aliniambia kuwa 'Mama' ana 'Dharau' sana na maneno ya 'Karaha' nikamkatalia ila sasa nayashuhudia Mwenyewe ' mubashara' kabisa.
 
Wewew mwenyewe hapa umepiga kelele tu aliyekuambia watu mara ndio mashujaa nani? yani unajikunja unaandika utumbo kama huu wa kutaja makabila ya watu negatively? halafu ndio utegemee jamii iwatumie watu kama wewe na ulevi huu kuwa na mipango mizuri?
Pumbavu ulibakia peke yako tu JamiiForums nzima kutokujua kuwa haya Makabila yote niliyoyataja hapa na Mikoa yao ni ya Watani zangu Wakubwa GENTAMYCINE tena ambao nawapenda mno hata Wao wanajua.

Na sijaanza Kuwatania hii leo. Pumbavu!
 
Siyo wewe tu katukera wengi, wanatudharau sababu wanajua hatuwachagui isipokuwa wanachaguliwa na dola
inatia aibu sana kwa walinzi wetu wa nchi JWTZ (polisi na wengineo tupa kule) na manyota yao sijui nembo ya taifa begani kuburuzwa na mpumbavu mmoja mwanasiasa yote ya yote Mungu yupo kama ilivokuwa kwenye awamu ya tano.
 
Nikiwa kama mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) hili neno la Kuambiwa tuna 'Kelele' tena na Mwanamke limeniumiza na kunipandisha sana Hasira zangu za 'Kichuri' Mkuu.

Malalamiko ya wananchi tena genuine kama haya si sahihi hata kdg kuyaita kelele. Pamoja na katiba mbovu tuliyonayo bado hii nchi ni ya Watanzania so kuyaita malalamiko yao ni kelele inakera sana bila kujali jinsia ya huyo anayesema hayo mkuu.

Mimi niliposikia kwa mara ya kwanza Morogoro niliumia sana moyoni mwangu nikajua washauri watalifanyia kazi hilo. Jana lilipojirudia ganzi ikaniisha tena na kubaki kuisikitia sana nchi yangu. Kama viongozi wetu wanatuna wananchi ni wapiga kelele basi kwa kifupi ni kwamba tumekwisha.
 
Katiba mbovu kabisa inawapa madaraka makubwa mpaka wanatudharau
Hivi Wakurya wakipiga kerere(kelele) baada ya kupata katiba mpya tutasema wanafanya nini? Maana katika katiba hii mbovu, Wakurya wakiambiwa wanapiga kerere - eti wanadharauliwa!
 
This Constitutionally motivated Woman President has failed Sooner than later, She is likely to fail this country before her term comes to an end,Kule kwetu Mara tunaamini mwanamke ana nafasi yake ktk uongozi lakini SIYO cheo kikubwa kama hiki cha urais kushikwa na mwana wa kike,
 
Malalamiko ya wananchi tena genuine kama haya si sahihi hata kdg kuyaita kelele. Pamoja na katiba mbovu tuliyonayo bado hii nchi ni ya Watanzania so kuyaita malalamiko yao ni kelele inakera sana bila kujali jinsia ya huyo anayesema hayo mkuu.

Mimi niliposikia kwa mara ya kwanza Morogoro niliumia sana moyoni mwangu nikajua washauri watalifanyia kazi hilo. Jana lilipojirudia ganzi ikaniisha tena na kubaki kuisikitia sana nchi yangu. Kama viongozi wetu wanatuna wananchi ni wapiga kelele basi kwa kifupi ni kwamba tumekwisha.
Kuna kuongoza Nchi na kuongoza mashirika yasiyo ya umma(NGO)
 
Nilimchukia huyu mama tangu siku anatangaza msiba. Sijawahi mpenda hata sekunde moja.

Aliniudhi zaidi aliposema .. niliyepo mbele yenu ni rais wa JMT mwenye jinsi ya kike.

Sijamwelewa hadi leo. Taarabu hadi msibani.
 
Back
Top Bottom