Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

Wanaopika keki wanatumia baking powder, na wanaopika half cake wanatumia bicarbonate of soda

Hizo ni powder aina mbili tofauti. Unatakiwa kutumia hii bicarbonate of soda kama unavyotumia dawa ya meno(tooth paste) unapopiga mswaki.

Siku mbili, tatu tu...baada ya hapo utumie wiki mara moja. Haina ladha nzuri,lakini mabadiliko utayaona mara ya kwanza utakapotumia. Na hiyo habari ya kutoka damu itapotea.

Tumia hiyo bicarbonate of soda baadae urudi na ushuhuda.

mkuu r yu serioz kweli? teh! naona kunakila dalili ya kugeuza meno ya mleta uzi kuwa maandazi na kalimati.
 
yapo memo yana asili ya unjano by nature hayo huwa ni never kuwa meupe jitahidi kunywa maziwa fresh sana glass 1 wakati wa kulala kwa siku 30 mfululizo hata kama kunahuo uasili hutoweka
 
ladies and gentlemen,

mimi nina sumbuliwa na meno yana unjano sana kiasi kwamba utafikiri huwa hayafanyiwi usafi! fizi nazo zimekuwa zikisumbua sana kiasi cha kutoa damu mida ya asubuhi!!

nimejitahidi kusujutua mara tatu kwa siku lakini wapi!!! meno bado yana rangi ya njano!!

lengo langu ni kupata meupe peeee!! yani super white teeth kama wengine!!

please wanaojua njia mbadala ya kubadilisha meno yanga kutoka hali ya unjano kwenda weupe na wenye afya please tusaidiane hapa!!!

thanks a lot!!

Sijui unaishi wapi lakini hii kitu hufanya kazi vizuri tu.

plus-peroxide-whitening-mouthwash_0_1.png


Kwa taarifa zaidi bofya hapa
 
mimi ya kwangu mekundu kama sukari guru nayapenda hivohivo wewe endelea kusaka tiba
 
Mimi ni Arusha boy meno yangu yameoza nilienda kairuki kutaka kuyasafisha wakasema meno yako cyo machafu bali yana madini ya chloride ambayo yanasababishwa na maji yetu pale Arusha, hili tatizo pia lipo shynyanga. Basi alisema kuwa kusafisha haiwezekani bali watafanya kitu kinaitwa teeth cosmetic ie. Kubleach meno yanakuwa meupe kwa jino moja ni 50000
 
Back
Top Bottom