kuweweseka!...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
...hivi, maneno yanayoropokwa na mwenza akiwa usingizini yanafaa kuchukuliwa kama true confession ama? ...Yaani, kabla usingizi haujakuchukua sawa sawa mara unamsikia mamsap au muzee muzima anaanza kuropokwa 'siri' kadha wa kadha... ukimkurupusha anakuambia, aarrggh, ni ndoto tu!

halafu zogo jingine ni pale mtu anapokuwa anatolewa chumba cha upasuaji, huku 'akibwabwaja 'siri zote'...

Wanandoa mnachukuliaje matamshi yatamkwayo usingizini?

womantryingsleep_450x450.jpg

For some, every night is spent tossing and turning as they wait to drift off !
 
kuweweseka usingizini inawezekana kusiwe na lolote sirias labda ni
fantacy zake tu na hajazitekeleza.

ila itokeapo wakati wa shughuli mwanamama akalalama kwa jina la njemba nyingine basi hapo mnyororo unaweza kusinyaa ghafla na mchezo ukaishia hapo. aidha kama ni njemba anahangaika halafu akaanza kutaja jina la mrembo
mrembo naamini mrembo hapo hapo atakuwa wa baridii na shughuli kukwama
 
kuweweseka usingizini inawezekana kusiwe na lolote sirias labda ni
fantacy zake tu na hajazitekeleza...

...Duuuh, afadhali maana mnh...

Wife is dreaming in the middle of the night and suddenly shouts:
"Up! Quick! My husband is back!

Man gets up, jumps out of the window into the bushes, and then
realizes:
"Damn, I am the husband!"
 
...duuuh, afadhali maana mnh...

wife is dreaming in the middle of the night and suddenly shouts:
"up! quick! My husband is back!
man gets up, jumps out of the window into the bushes, and then
realizes:
"damn, i am the husband!"
hawa mke na mume wote wana lao jambo!
 
... aaarrrgghhh WoS, imekuwaje tena, si ndoto tu??? :)

Mbu, ndoto nyingine huwa ni karibu na ukweli :) hivyo kuna umuhimu wa kuchukua hizo data za yanayosemwa kwenye ndoto hizo na kuyafuatilia zaidi.
 
...Duuuh, afadhali maana mnh...

Wife is dreaming in the middle of the night and suddenly shouts:
"Up! Quick! My husband is back!

Man gets up, jumps out of the window into the bushes, and then
realizes:
"Damn, I am the husband!"

inawezekana wife alikuwa anaota scene ya movie aliyokwishaiona na kwa vile aliota kwa sauti kubwa sana husband akakurupuka na ile kitu inayoitwa "unconscious mind" (wanaofanya meditation wanaijua hii) ikafanya kazi. baada ya kuruka ndio "conscious mind" ikarudi na ndipo alipojitambua kwamba yeye ndio husband.
 
Mbu, ndoto nyingine huwa ni karibu na ukweli :) hivyo kuna umuhimu wa kuchukua hizo data za yanayosemwa kwenye ndoto hizo na kuyafuatilia zaidi.

...te he!

ndio maana wanasema kama mwenza wako hapendi kusikiliza, 'jisemeshe usingizini', ...atakusikiliza tu!
 
...te he!

ndio maana wanasema kama mwenza wako hapendi kusikiliza, 'jisemeshe usingizini', ...atakusikiliza tu!
Kwa maana hiyo kama nimgumu wa mshiko unatilia " Michael, hii elfu 50,000 hanitoshi niongezee honey, c-c-una-ju-a nahitaji vipondozi lakini"...alafu unajigeuza the opposite direction na kung´orota vizuri...imekaa viziru kweli mbu.
 
...ha ha ha, usijeshushiwa makonzi, magumi na mateke! :D
 
Back
Top Bottom