Kuweni waelewa kuhusu TCU, kama huna sifa usijisumbue kuomba

NANGA WA KWATA

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
347
232
Niwashauri kama huna sifa walizozisema TCU kwenye guide book yao usijisumbue kutupa hela na muda wa kuapply fanya mambo mengine, hii serikali ipo serious sana najua hamtaamini wapo mtakao jaribu but itakula kwenu.

Hata NACTE wamechelewa kutoa wanawachambua walioapply degree ambao hajakidhi vigezo vya degree kulingana na TCU poleni kwa wale mlioguswa na janga hili palipo na mafanikio tambua kuwa kuna watu waliumia.
 
Unaweza kuaply hata kama huna vigezo na ukapata kama last year kigezo ilikua 2.7gpa bt kuna watu adi wana gpa za 2.3 wapo degree
Nani aliyekwambia mwaka uliyopita kingezo kilikuwa na 2.7 GPA????

Acha Uongo mkuu.
 
Mi Na GPA ya 3.2 unataka kuapply course za eng. vp hapo wadau naweza bahatsha au itakula kwangu?
 
Unaweza kuaply hata kama huna vigezo na ukapata kama last year kigezo ilikua 2.7gpa bt kuna watu adi wana gpa za 2.3 wapo degree
We endelea kurejea ya mwaka jana uone cha moto. Mambo yamebadilika mkuu. TCU wameeleza vizur kuwa lengo la kuongeza point ni kuvipa wanafunzi vyuo vya kati ambapo wengi walikuwa wakikimbilia chuo kikuu
 
Niwashauri kama huna sifa walizozisema TCU kwenye guide book yao usijisumbue kutupa hela na muda wa kuapply fanya mambo mengine, hii serikali ipo serious sana najua hamtaamini wapo mtakao jaribu but itakula kwenu.

Hata NACTE wamechelewa kutoa wanawachambua walioapply degree ambao hajakidhi vigezo vya degree kulingana na TCU poleni kwa wale mlioguswa na janga hili palipo na mafanikio tambua kuwa kuna watu waliumia.
Hao ni TCU,je ule mfumo wa kuchagua pamoja wanafunzi ili kuondoa double allocation umeangaliwa?
 
We endelea kurejea ya mwaka jana uone cha moto. Mambo yamebadilika mkuu. TCU wameeleza vizur kuwa lengo la kuongeza point ni kuvipa wanafunzi vyuo vya kati ambapo wengi walikuwa wakikimbilia chuo kikuu
Yaani elimu ilitaka kuharibika kwa huu utitiri wa vyuo vikuu alafu wanafunzi wanaotakiwa wengi unakuta hawajakidhi vigezo matokeo yake mtu alietakiwa kwenda Diploma anakwenda degree, at least watu wataongeza bidii ili wapate ufaulu wa kutosha
 
Unaweza kuaply hata kama huna vigezo na ukapata kama last year kigezo ilikua 2.7gpa bt kuna watu adi wana gpa za 2.3 wapo degree
Mkuu Mwaka Huu Ni Wa Mwendo Kasi!! Ni tofauti Na Miaka Mengine Uliyoizoea, Kama Huamini Yatayotokea Basi Mtu na Ajitumbukize Kichwa Kichwa.
 
Mbona nilisikia kama huna kigezo system inakutema, ni kweli ama vipi.Maana dogo langu na one yake ya PCM ameomba Mining pale UDSM, kuangalia competitors wamefika 151 wakati nafasi ni 35 tu, nk nk sasa nahisi system itakuwa haiwatemi
 
Back
Top Bottom