Kuweni na mazoea ya kusali kabla ya kulala wanandoa

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Hii si kwa wanandoa tu ila kama wewe ndiwe basi ungana na kundila single kuhakikisha kabla ya kulala unamshukuru mungu kwa kukulindana ukiamka asbh jifunzr kusema ashasante na uikabidhi siku yako kwa mungu jamaninimeona maisha mingi ya familia zetu yanalegalega sababu ya kutomkumbuka munguembu wanafamilia anzeni leo na Mungu awabariki usiku mwema
 
AMINA Mtumishi wa Mungu, ila ngoma hapo ni kuomba kwa Mungu wa kweli mwenye Mkono hodari tena aliye Hai, anayejibu Maombi. Upo?
 
na hasa tukipata vihela vya kubadiridha mboga ndo tunamsahau Mungu kabisa,ila tukiwa na shida utaona mtu akiomba hsdi anatoa machozi,ushauri eako mzuri sana mkuu.
 
Ni kweli wakuu tukianza kuchagua mwaisela/sewahaji ama moi nakwambia tunaomba na biblia iwe karibu ya kitanda kunahisi ukifa akija akiona akiiona atakuacha loh..tumtumikie mungu saa zote yeye ni yeye yule jana leo na hata milele byeeeeee
 
Back
Top Bottom