Kuweni na HURUMA, mko wengiiiiii!!!

kingofyou

Member
Nov 21, 2013
52
15
Habari zenu...
Nasema hivi Amani itakuwepo tena kubwa sana + upendo, mkiwaruhusu waume zenu at least kuwa na mke mwengine, yaani muwe wawili... Heshima itakuwepo (mwanaume atakuheshimu sana). Asikuambie mtu game utafaidi tu,,,

Game utafaidii kwa maana utakuwa mbunifu a sana, ili umkoleze mumeo wakati hapo hapo unajitosheleza ipasavyo..

**@Practice makes ..................@**

Mnapo bana wenzenu wanateseka.. hapo hapo unakataa uke wenza lakini mume wa mtu akitupa karata kwako ya turufu anakula kilaini na mbaya zaidi unafahamu kuwa mume wa mtu.

Umalaya haufai,, halal tamuuu...

Kazi kwenu
 
Men are polygamy in nature,mind you human/man's needs are unlimited we huoni wanapewa vizuri na bado wanaweza dai KABAANG sisi sio wa kutuendekeza
 
Men are polygamy in nature,mind you human/man's needs are unlimited we huoni wanapewa vizuri na bado wanaweza dai KABAANG sisi sio wa kutuendekeza

No! Unajua ujasiri wa mke kumruhusu mume aoe mke wa pili kwa 80% mume hawezi kuleta ujinga wa kuenda nje tena. Na mwanamke anatakiwa awe na Amani kuwa leo yupo kwa mwezangu.

Faida: mahitaji wote watapata
 
Hii ni kuingizana kwenye mafunzo ya marehemu mohammad wa Makka bila kujua.Mimi ni dume ila naona kinyaa kuchangia mapenzi.Marehemu mohammed ndio aliyaweza haya na wafuasi wake.
 
si kweli kabisa watu kibao wanawake 3 lakini kuchapa nje kama kawa mkuuu si kigezo hicho ...... we uo tu wawili au watatu lakini kwa maisha ya sasa duh usijetesa watoto wa watu mkuuu.....
 
Hii ni kuingizana kwenye mafunzo ya marehemu mohammad wa Makka bila kujua.Mimi ni dume ila naona kinyaa kuchangia mapenzi.Marehemu mohammed ndio aliyaweza haya na wafuasi wake.

Hivi ni kweli haujawahi kuchangia mapenzi, hujawahi toka nje ya ndoa?
 
watu wengine hua mnakurupuka usingizini
na kuandika ujinga pasipo kufikiri?haaaa!!
vp kuhusu mwanamke nae kumiliki mme zaidi ya mmoja
mtakubali?mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Mimi binafsi sijioni kabisa kuwa kama nikija kuoa ntatumbukiza sehemu moja kwa muda wa miaka 30 au 40 ya maisha yangu. Yaani hadi kufa kwangu ntakula vya mke wangu tuuuuuuuu. Mhh ingawa ntajaribu sidhani kama ntaweza.
Si semi kuwa mimi ni kicheche lakini huwa najiuliza mara kwa mara katika maisha yangu je baba yangu toka aoe mpaka leo hii hajawahi kuonja nje????????????????????? Maana ndoa yao ina miaka 38 na mwaka huu unaisha,,,,,,,,,,
 
WhoLetTheDogsOut-RevisedLogo2.gif
 
Back
Top Bottom