CDM ndo wametuma vijana kusaka vocha wanazinunua kuna jambo wanapanga mda c mrefu watakutana kurasini watapiga mabia then wataibukia kwny tv!!
wewe baba yako bora angekutole bafuni tu.
Au bora angetoa ngano, ikapikwa chapati tukala tukasahau! Hahahahaha!
Na haiwezekani kumshikilia mtu gerezani kama huna concrete evidence ya kufanya hivyo, kama unaokota vocha katika eneo la tukio na kupata namba ya simu ya mtu aliyetumia vocha hiyo, jambo la kwanza ni kumu-interogate huyo mtu ili kujua alikuwa wapi siku hiyo ya tukio, na kama maelezo yake ni ya kutia shaka then anaweza kuwa first suspect, lakini kama kwa mfano sikuwahi kufika katika hilo eneo wakati huo wa tukio sasa kuna haja gani ya kunishikilia...! Kuna haja ya kuangalia huzi sheria za "anaisaidia Polisi" kwanza zimepitwa na wakati...............
Mimi sitaweza kutembea na makaratasi mfukoni eti kwa kigezo zitatumiwa na wahalifu, tena hao wahalifu waambie waje niwape hizo vocha nilizotumia waone kama nitakamatwa....................