Kuweni makini maofisini humo, Baada ya kulogwa mda huu nipo njiani kuelekea Morogoro kwa Mtaalam

Mkuu nakushauri mtafute Mungu(YESU) hiyo case itaisha .mimi nilipitia kwenye dhahama kama yako ila ameniponya bila gharama yeyote
 
umetembea na mke wa mtu unaanza kusingiziwa umerogwa ofisini kwako, acha kutudanganya
 
Aaaaaaaa sioendi kabisa kusikia haya mambo ya kichawi chawi.

Mungu aniepushe nao niendelee kuishi maisha yangu yasiyo na vifungo
 
Hii safari uliyoianza haitaisha Leo, ni life journey. Uchawi kwa uchawi huwa haukomi. Nakuhakikishia safari yako ya kuwa muwanga ndio inaanza.

Bora ungeonbewa tu.
 
Baada ya miezi mitatu tu ya kuanza kazi kama Quality control supervisor , hali yangu ilianza kubadilika, Mdomo umegeukia upande meno ya mbele yametoka na baada ya kwenda Hospitali walinifanyia uchunguzi huenda labda ikawa ni stroke lakini wamethibitisha kuwa mwili wangu upo sawa hauna ugonjwa wowote

Sasa nipo njiani mda huu na ndugu zangu kwenda kwa mtaalam morogoro.
umepima HIV?
 
Back
Top Bottom