Kuweni Makini Jamani...!

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
IMG-20200510-WA0077.jpg
 
Kwani tatizo nini hapo?? Waafrika tunapenda sana kubagua watu wengine ila hatupendi kubaguliwa hilo ni tatizo hakika. Tubadilike hakuna kitu cha ajabu hapo.
 
Binamu itabidi unisamehe bure tu mwenzio kuna muda akili huenda mbali sana my dear.

Nimeku-pm Nam...!
Usijali binamu yangu mie. Japo uzi wako umefanya tuone wanaume wa jf walivyo waungwana. Kama sio wale wanachekaga picha zetu zikivuja humu kwamba tuna sura za babu.. 🤣

#Munguanawaona. Lol
 
Back
Top Bottom