Kuweni macho na mdada huyu

Lo! hawa Mabinti imekuwa balaa.Hebu kwa anayemjua Binti huyu kwa jina FATUMA KIFOFU Mwenye namba 0752934191 amwambie afungue laini ya simu ili aitumie.Nilituma hela kimakosa kwenye namba hiyo.Baadaye nikampigia akakili kupokea na akaahidi kunirudishia lakini baadaye toka siku hiyo tarehe 6/12 simu ikazimwa mpaka leo.
 
huo utapeli niliwai kuufanya na nilikupa na uhakika wa kupata si chini ya million 10 kwa mwez. wanaume wakware na wajinga walikuwa wanatuma pesa ya ndege hawajui wanachat na kidume

Kenye Badoo Masogange au mtu fulani aliyekuwa anatumia jina na picha za Masogange alikuwa anapiga watu mizinga akiomba wamtumie tiketi ya ndege eti anasoma Chuo cha uuguzi Moshi.
 
Ivi huu mtindo kumbe bado upo! Wanaume bado tu mnatuma hela hovyo kwa msiowajua?? Come on men....ZINDUKENI bhana
 
na wanaume sasa this is too much, yaani ukichat tu basi tayari unatoa advance??? na atawapiga kweli kwa tamaa mbaya

Mimi nasema wapigwe tu.... tumechoka sasa
 
Kenye Badoo Masogange au mtu fulani aliyekuwa anatumia jina na picha za Masogange alikuwa anapiga watu mizinga akiomba wamtumie tiketi ya ndege eti anasoma Chuo cha uuguzi Moshi.

Mkuu huyo Masogange fake nishachat nae akanambia hayo hayo but alinikosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom