Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
Naamini ni watu wengi sana wana tabia ya kuweke laptop kwenye mapaja na kuzitumia .binafsi nina tabia hiyo pia lakini nahisi kama ina madhara ffulani.naommba kwa anayeweza kutupa mwongozo katika hili atusaidie wenzie.