Kuweka vitu kama hivi kwenye gari inamaanisha nini?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,518
13,135
8547888dcf3cea6925d853d343b9bbac.jpg
 
Manual drive kwa mwanamke? Bas huyo mdada ujipange sanaaa
 
Nafikiri hizo ni bangili.ni aina ya urembo wa dada zetu.
 
Maana yake, kapenda jinsi hiyo handle inavyojinyonga hapo akaamua aitunuku na mazaha mazaga iwe inampa raha kamili za kizaramo
 
Inaweza kuwa ni urembo tu.

Na inawezekana pia muhusika anafanya biashara ya vitu hivyo, na hapo ilitokea dharura hakuwa na cha kuhifadhia akaamua aziingize hapo kwenye Gear Lever,

Au inawezekana pia, Muhusika ni mteja na ndio ametoka kuvinunua, akaamua kwa muda aviingize hapo ili asije kuvipoteza
 
Yani mwenyewe akija gundua kuwa baada ya kukupa lift we umeenda mbali Zaidi na kuleta umbeya,sahau kupewa lift tena
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Back
Top Bottom