Kuweka Usalama Mkoa Wa Pwani

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,249
831
Ningekuwa naweza kukutana na mheshimiwa rais, ningemshauri na kumwomba amteue kijana mashuhuri, maarufu, kada machachari wa CCM na mchapa kazi kuliko kijana yeyote wa kizazi hiki ili awe mkuu wa mkoa wa Pwani ambako kumekuwa na mfululizo wa mauaji ya askari wetu.

Huyu kijana si mwingine zaidi ya PAUL MAKONDA, sijui wenzangu mna mawazo gani.

TAFADHALI MODS / ADMN msiondoe uzi huu.
 
Back
Top Bottom