Ni hatari na makosa kuweka mtungi wa gas ya kupiki ndani ila serikali yetu haina sheria yoyote inayohusu matumizi ya gas na hiyo ni kwasababu kulikuwa na matumizi madogo sana ya gas siku za nyuma na hakujawahi kujitokeza hatari kubwa ya maafa kutokana na gas zinazotumika majumbani kutokana na kuvuja au kupasuka kwa mtungi. Ni vizuri mtungi wa gas ukawekwa nje ya nyumba kwa kujengewa kichumba chenye matundu mengi au au nondo na pipe zake zikatengenezewa kava ya ulinzi pia mpaka kwenye muunganiko na jiko. Gas inamadhara sio ya kuwasha moto tu bali pia haifai kuvutwa na mnyama wa aina yoyote endapo itatokea kuvuja.
Chance za mtungi kuleta madhara yoyote ukiwa ndani ni next to zero. Chance za kuleak hazitegemei mtungi uko nje au ndani, ili mradi jikoni kwako kuwe na ventilation ya kutosha (dirisha) sio rahisi gesi ikasababisha madhara yoyote makubwa. Pia gesi inawekwa harufu makusudi ili kukiwa na leak unaweza kujua mara moja.
Mkuu, unazungumza kama vile mazingira unayoishi wewe na watanzania wote wako hivyo eti unazungumzia jiko lenye ventilation, naomba utambue hata huku uswahili siku hizi tunatumia gesi, mtu amepanga chumba kimoja (hapo ndio jiko, sebule na chumba cha kulala) na kuna mtungi wa gesi ndani na nyumba anayoishi ina wapangaji wengine ambao nao ndani kuna mitungi ya gesi. Pata picha halisi, bila kutolewa elimu ya kutosha na kuwekwa sheria za usimamizi...........nini unategemea baadae.
Kwanza kabisa ebu twangalie gas tunayo tumia niya aina gani.
Gas tunayo tumia majumbani ni Butane Gas. Mitungi imetengenezwa kitaalamu for butane use na imeandikwa kwa kila mtungi.
In order Butane to burn it has to react with oxygen. Kwa wanaotumia majiko ya gas, ukitizama kwenye jiko lako chini kuna shimo la kupitisha hewa (oxygen) closer to the switch kwa ndani. By the time una switch on gas iliochanganyika na oxygen inakutana na sparks hapo ndio moto unatokea. Lakini ukifungulia Gas hadi mwisho utaona kwamba moto with a yellow flame ndio unawaka this means that Butane gas is much greater than oxygen lakini ukipunguza (as per the instructions given on the switch) utapata a blue flame this means that equation is in equilibrium i.e 2C4H10 + 13O2 ----> 8CO2 + 10H2O ndio maana unaambiwa anaetumia gas kwa kupikia ni miongoni mwamarafiki wa mazingira bcoz Butane and oxygen produces carbondioxide which is used in respiration by plants. This is a combustion reaction because carbon dioxide and water are products.
Madhara yanaweza kutokea kama utafunga nyumba yako sehemu zote zinazo pitisha hewa ili endapo utafungulia gas ukaiacha kwa muda ikisambaa nyumba nzima, then by the time unakapo washa moto hapo ndio nyumba nzima itawaka. This is due to the fact that the amount of Butane will have been equal to oxygen. Ndio maana unashauriwa kutumia automatic regulator (amabyo inadetect kuvuja kwa gas) or weka mtungi wako sehemu iliopo wazi. Kwa waoweka mitungi nje ya nyumba zao this means that madhara ya kulipukiwa ningumu kutokea. Ndio maana kila sehemu gas inapo uzwa lazima kuna uwazi wa kutosha. Remember Butane is a component of crude oil.
Vipi sumu ya panya, kisu, bastola ukitumia vibaya.!
Haya uliyonena yanatokana ta taaluma juu ya gesi au nadharia ya jumla, naomba ufafanuzi kwa anayefahamu.
KOMANDOO - Ulishawahi kufanya majaribio ya kufungulia gesi kwa muda halafu ukawasha kiberiti? Maana naona kama unazungumzia mambo ya kikomandoo zaidi kuliko uhalisia wenyewe.
Kwanza kabisa ebu twangalie gas tunayo tumia niya aina gani.
Gas tunayo tumia majumbani ni Butane Gas. Mitungi imetengenezwa kitaalamu for butane use na imeandikwa kwa kila mtungi.
In order Butane to burn it has to react with oxygen. Kwa wanaotumia majiko ya gas, ukitizama kwenye jiko lako chini kuna shimo la kupitisha hewa (oxygen) closer to the switch kwa ndani. By the time una switch on gas iliochanganyika na oxygen inakutana na sparks hapo ndio moto unatokea. Lakini ukifungulia Gas hadi mwisho utaona kwamba moto with a yellow flame ndio unawaka this means that Butane gas is much greater than oxygen lakini ukipunguza (as per the instructions given on the switch) utapata a blue flame this means that equation is in equilibrium i.e 2C4H10 + 13O2 ----> 8CO2 + 10H2O ndio maana unaambiwa anaetumia gas kwa kupikia ni miongoni mwamarafiki wa mazingira bcoz Butane and oxygen produces carbondioxide which is used in respiration by plants. This is a combustion reaction because carbon dioxide and water are products.
Madhara yanaweza kutokea kama utafunga nyumba yako sehemu zote zinazo pitisha hewa ili endapo utafungulia gas ukaiacha kwa muda ikisambaa nyumba nzima, then by the time unakapo washa moto hapo ndio nyumba nzima itawaka. This is due to the fact that the amount of Butane will have been equal to oxygen. Ndio maana unashauriwa kutumia automatic regulator (amabyo inadetect kuvuja kwa gas) or weka mtungi wako sehemu iliopo wazi. Kwa waoweka mitungi nje ya nyumba zao this means that madhara ya kulipukiwa ningumu kutokea. Ndio maana kila sehemu gas inapo uzwa lazima kuna uwazi wa kutosha. Remember Butane is a component of crude oil.
Prime Dynamics Hicho kifaa ulichokitaja (automatic regulator) kinapatikana wapi na kina muonekano upi? na pia kinatumikaje .....maana umesema…(Ndio maana unashauriwa kutumia automatic regulator (amabyo inadetect kuvuja kwa gas) or weka mtungi wako sehemu iliopo wazi.)
Gesi ya siku hizi sio kama ya zamani, utashangaa unaweza fungua gesi kabula hujawasha na ukawasha kusiwe na tatizo, ni kama petrol ya zamani na ya siku hizi,
Kama kuweka ndani ni makosa vipi ILE MITUNGI YENYE JIKO HAPO HAPO? WATU WAWE WANAPIKIA NJE?
Mimi sipikii tena hiyo gesi ,nani kakwambia ? mungu mkubwa sana ,huenda ningeshakufa au ningeunguza nyumba ya watu.Mwaka jana nililipua tanki acha moto uwake hadi juu bahati nzuri tu jirani alikua na fire extinguisher kanisaidia ndani ya dakika 2 ,sitaki hata kuisikia hiyo gesi ,natumia mkaa na mafuta ya taa ,baadae ntatumia umeme nikijenga nyumba yangu,ila kwa mnaotumia msiweke ndani tafadhari na hao watoto wasiguse kabisaa, au ukiweka ndani weka na fire extinguisher pembeniWana Jamii, matumizi ya kupikia kwa gesi yamezidi kuongezeka; nimekuwa nikiona watu wengi wanaweka mitungi ya gas ndani, vipi hakuna hatari yeyote?, je hakuna sheria iliyoweka kwa watumiaji wa gas majumbani kwa ajili ya usalama?. Nimekuwa nikiona nchi nyingine mitungi ya gas ikijengewa nje.
Asante kwa kutukumbusha. Ni makosa makubwa kuweka mtungi wa gas ndani. We are not conscious of fire safety rules
sio kweli....inatakuwa chumba/jiko liwe na VENTILLATION nzuri.
kwa mtazamo wangu binafsi na kwa kutumia elimu kidogo ya kiufundiAsante kwa kutukumbusha. Ni makosa makubwa kuweka mtungi wa gas ndani. We are not conscious of fire safety rules