Kuweka logo ktk softcopy

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Kuna logo iko kwenye hard copy,sasa kuiweka kwenye soft copy,
tafadhali naomba msaada kuhusu utaalamu unaotumika.
Natanguliza shukran.
 
Nitafute nikufanyie kazi yako hadi ufurahi... Ukitumia scanner labda iwe ktk resolution nzuri sana, la sivyo hutapata quality nzuri
 
nimekupm no angu mkuu,
nbp tafadhali
 
Kuna logo iko kwenye hard copy,sasa kuiweka kwenye soft copy,
tafadhali naomba msaada kuhusu utaalamu unaotumika.
Natanguliza shukran.

scan document au piga pic unitumie, kama sio overly complicated ntaitengeza as it is and send ya the product with very high resolution. All free of charge as my way of giving back in this wonderful season! :)
 
'safi sana mkuu hivyo ndivyo walivyo ma Good Guy
 
Last edited by a moderator:
scan document au piga pic unitumie, kama sio overly complicated ntaitengeza as it is and send ya the product with very high resolution. All free of charge as my way of giving back in this wonderful season! :)

ubarikiwe sana mkuu,
ngoja nnlifanyie kazi.
Bt in this capitalism globe,
i have to do something.
Nimeku pm mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom