N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,528
Hakika tunawapenda ndugu zetu wanaofanya biashara ndogo hasa kwenye miji mikubwa lakini kuna hii kero ya kuziba njia za waenda miguu kwa kuweka biashara.Haikubaliki!
Tunaomba Mamlaka husika ziweke utaratibu wa kuwezesha wananchi kupita na hawa wafanyabiashara kufanya biashara zao bila mmojawapo kumnyima HAKI mwingine.
Picha ya Citizen ya leo inaonyesha hali halisi ya UBINAFSI huo kwenye mitaa ya Uhuru Kariakoo Dar es Salaam.