Kuwatoa mhanga mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwatoa mhanga mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Dec 23, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,994
  Trophy Points: 280
  Hivi wajameni kwanini kusiwe na watu watakaojitolea kuwachapa risasi mafisadi? maana mahakama (sheria) zimeshindwa kuwagusa, Hosea naye anawagwaya..., kilichobaki ni sheria mkononi...maana hamna haki na umaskini unaendelea tuuuu... napendekeza hilo!!
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,981
  Trophy Points: 280
  Wewe je huwezi.
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,994
  Trophy Points: 280
  heheh mie nta-sponsor tena wewe na hiyo avatar yako unahitajika sanaaa wenyewe wanakutafuta kwa kupitia fatwa inapaswa wabadilishwe itikadi! yule alimyemchapa kofi Mwinyi anafaa sanaaa...apewe mguu wa kuku sasa
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama unaweza kupiga novena watabadilika. wauzulie wazee wako jinsi ya kuisali.
   
 5. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wazo zuri sana! Nikukute wapi nikuazime LMG yangu? Ina silencer darubini na unaweza kuwatungua kutoka umbali hata wa mita 300. Ya nini tuteseke hivi chalii yangu?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwa mawazo ya wabongo hii ni ndoto, tunadanganyika kirahisi!
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Itawezekana tu. Na hivi inavyozungumzwa, wanaweza wakajifia wenyewe kwa presha na kisukari.
   
Loading...