Kuwasilisha inquest coroner’s court | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwasilisha inquest coroner’s court

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Saljiv, Jul 30, 2011.

 1. Saljiv

  Saljiv Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Je mimi kama raia, naweza/naruhusiwa kwenda RM-Mahakamani na mwanasheria wangu, na kuwasilisha mahakamani ombi la inquest kwa kifo ambacho nahisi kama kuna foul play either huku uraiani au in official custody ?
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mwenye mamlaka ya kuwasilisha ombi la kufanyika uchunguzi wa kifo ni:

  1. Coroner chini ya kifungu 6 ( 1) cha sheria za uchunguzi wa kifo
  2. Appropriate authority chini ya kifugu 6 ( 2) cha sheria hiyohiyo
  3. DPP chini ya kifungu cha 18 cha sheria hiyo.

  Appropriate Authority ni nani? Kifungu 2 cha sheria hiyo ambacho ni kifungu cha ufafanuzi kwenye sheria hiyo kinasema: "appropriate authority" means the person appointed by the Minister to be the appropriate authority for the purposes of this Act;
   
 3. j

  jacksonmjuni Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  coroner pia inquest coner's court tafsiri yake nini kisheria
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  tafsiri ya kiswahili ni mtaalamu aneyechunguza kifo cha mashaka ( duh ) sijui kama niko sahihi kwa mfano mtu amefariki kwa sababu ambazo sio za kawaida ( unnatural) na polisi katika uchunguzi wao wanashindwa kulink kifo hicho na au hawataki kumpeleka mtu mahakamani kutokana na kifo hicho watu waliotajwa kwenye post namba mbili wanaweza kuanzisha proceedings kuhusiana na kifo hicho.

  Mfano halisi na mzuri ni wa watu waliokufa nyamongo, wale watu hawakufa kifo cha kawaida, walipigwa risasi basi ni lazima kuna mtu alipiga hizo risasi huyo mtu aliyepiga hizo risasi anatakiwa kupelekwa mahakamani. Kwa sababu polisi, kwa sababu wanazozijua moja hawataki kuwapeleka mahakamani basi hapo ndipo uchunguzi wa vifo hivyo inabidi ufanywe na coroner na chombo kinachosikiliza kinaitwa coroners court na mwenendo wote unaitwa inquest.
   
Loading...