Kuwashwa sehemu za siri (wanawake) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwashwa sehemu za siri (wanawake)

Discussion in 'JF Doctor' started by Yo Yo, May 14, 2009.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hili tatizo linawatokea sana sana wanawake.....kuwashwa sehemu za siri....

  ....nini tatizo la kuwashwa sehemu za siri?

  ....nini tiba yake?
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  May 14, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tiba yake ni kuzingatia usafi wa mwili hasa sehemu yeti,kama muwasho ni wa mara kwa mara ni heri ukaenda kumuona daktari.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Kujikuna....
   
 4. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ndio tatizo la wagonjwa,hawatoi maelezo ya kutosha.Kuna muwasho tu au pia kuna discharge yeyote?pia kuna changes zozote katika skin ya sehemu hiyo inayowashwa?vipi haja ndogo ipo fresh?umri wa mgonjwa?

  toa maelezo ya kutosha tumpatie msaada
   
  Last edited: May 14, 2009
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hahaha shem mademu zako bwana unaniacha hoi....inawezekana ni venereal diseases amabo nyingi ni sexually transmitted infections, sasa mazee usiuze naye mechi atakuachia mikuno.....tiba...awaone madaktari na kuchukua vipimo....
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hana dalili zingine zaidi ya kuwa na muwasho sehemu za siri.... haja ndogo ipo fresh tu umri wake ni kati ya 23-30....

  shem nakula vitu classic bana.....hana STI yoyote maana ningejua si unajua kwa jinsia ya pili haichukui muda kujitokeza.....kawaona madktari kapewa vidonge kuweka huko chini bado nasikilizia kama muwasho utaendelea...aaaah shem kuna sehemu kuuza mechi hakukwepeki....
   
 7. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  basi hiyo hali itakuwa inasababishwa na chemicals such as soap,cream ,feminine spray ect

  hamna tatizo hapo mjomba,we endelea tu kuuza mechi.
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wewe ni moja kati ya madktari bora nuilio wahi kukutana nao.....ubarikiwe mkuu.
   
 9. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  kuwasha sehemu ya siri kuna sababishwa na vitu vingi, huo sio ugonjwa wa zinaa.

  -Inawezekana hao ni fungus, hivyo inabidi akamuone daktari ampe vidonge vya kuingiza sehemu ya siri au cream ya kupaka.
  -Vile vile inawezekana anapenda kuvaa chupi wakati sehemu ya siri sio kukavu, anapomaliza kuoga ahakikishe ajifute vizuri ndipo avae chupi, unyevu nyevu sehemu za siri unaweza kusababisha kuwashwa.
  -Ahakikishe anajisafisha vizuri sehemu za siri, wanawake wana utoko sehemu zao za siri, hivyo ahakikishe kila siku kujisafisha hadi ndani ili utoko wote utoke. Kama akiwa na utoko nao unaweza kusababisha kuwashwa.
  - Azingatie usafi wa hayo niliyotaja hapo juu, kama muwasho unaendelea akamuone daktari na achukuliwe kipimo cha mkojo.
   
 10. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We Nyani Ngabu Mganga wa kienyeji nini! Yaani Tunguli lako linaonyesha dawa ni kujikuna! Kali hiyo.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  ndiyo kitu gani hiki? Usaha?
   
 12. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Dada Yangu Pretty,

  Ulicho kisema ni sawa na ninadhani kati ya wakina dada wanao jipiga mausafi wewe ni namba wani.

  Me nadhani kuwasha kwa sehemu za siri nako kwatakiwa kufafanuliwa maeneo ya siri napo kumegawanyika kuna ndani ya eneo la siri na nje ya eneo la siri.

  Me nta base kwa dada zangu na kuwapa hiki kifungu wakisome na kitawasaidia sana pia dada yangu pretty kipitie pia na uwaelimishe wengine

  Yeast Infection Causes

  Sometimes, taking antibiotics can cause yeast infection. One prime factor of the cause of yeast infection in pregnant women is the course of hormone changes as well as women undergoing menopause. Not only the women experience this infection, even men can contract the disease by engaging on sexual intercourse with women who are infected with it.

  At times, overdoing the personal hygiene can be a major cause for this infection to occur.

  Feminine washes and douches can sometimes cause fungal infestation. Too much cleanliness tends to kill the beneficial bacteria that normally protects and shields the body from the disease. Another factor when looking up the causes of yeast infection is clothing. This cause is often overlooked, but it also plays a big part in causing the symptoms to occur. Tight clothes tend to keep away the cold in the body; thus the fungus creates their environment.

  Vaginal Yeast Infection

  Yeast infection is better prevented than cured. That is why it is important to know its causes. Reading and researching can be a big help when it comes to preventing the disease occurrence. The most common yeast infection is the one which occurs at the vagina. This is caused by the organism Candida Albicans. During sexual intercourse, with or without the use of a protective item, the organism can be transferred.

  Irritating soaps can be a candidate for causes of yeast infection. These are bubble baths, douches, and some feminine liquid wash. Although it is meant to clean you from the fungus, they can sometimes trigger and cause the infection themselves. Having proper hygiene can help prevent this kind of infection, but overdoing it can possibly be the cause of infection instead.

  The overuse of antibiotics is also an agent to the cause of vaginal fungal infection, so are dairy products and beef. There are also foods that can cause yeast infection; here are some to name a few: grain, corn, apples, and peanuts. So it is better to know the causes of this disease so we can easily prevent them from happening. Bear in mind that prevention is always better than cure.
   
 13. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  To be precisely KUKUNWA
   
 14. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ana ugonjwa wa zinaa kwa sababu ingekuwa ni ugonjwa ungeshapata dalili. Azingatie tu usafi na choo anachotumia kiwe safi ahakikishe amemwaga maji ya kutosha kabla ya kukitumia maana sisi kina dada tunachuchumaa, halafu anapoenda haja ndogo ajisafishe na maji na ajifute siyo kutumua toilet paper, na anapokuwa nyumbani ajisafishe kwa kutumia maji ya uvuguvugu aweke dettol ya maji ajaribu kuingiza kidole ajisafishe mpaka ndani hata kama kitauma ili kama ndani kuna uchafu unatoka uishe wote.
   
 15. Willy

  Willy Member

  #15
  May 15, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 78
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Ni Vizuri kutoa maelezo zaidi. Kuna kuwashwa kwenye ngozi inayozunguka sehemu za siri (perenial region) mara nyingi ni kwa sababu ya fungal infection au chawa (Phthirus pubis). La sivyo kuna kuwashwa ndaniiiii ambayo mara nyingi inakuwa na discharge ya iana fulani na pia vidonda. Sijui ni lipi linakusibu ndugu yangu?
  Willy
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160

  Naweza sana kufanya hii kazi kuna dada yeyote anayehitaji msaada wangu? Hakuna malipo....!
   
 17. M

  Mama JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2009
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Huu ni upotoshaji Joyce.

  Dettol ni antiseptic disinfectant, tena strong germ killer. Kuitumia sehemu hizo kila mara kutasababisha kuondoa hata normal flora ambao ni muhimu katika eneo hilo.

  Tumia Dettol eneo hilo kama tu umeshauriwa na daktari tena aliyebobea katika maswala hayo, sio general doctor.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Masa ndugu yangu, to be honest kila nikimuona huyo dogo [AVATAR] anavyopata dhoruba ya hiyo miba na mimi nahisi muwasho na maumivu... msaidie basi maana huwa hayo majani yenye miba yanavimbisha sana asije akajaza monitor
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Sio usaha, usaha kwani kumeoza huko?
  Ni maji maji ya kawaida yatokayo ukeni. Ukitaka kujua zaidi mchunguze mpenzi wako.
   
 20. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,023
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hongera Pretty kwa kunikumbusha huu msamiati; sidhani kama vijana wetu wa leo wanajua maana yake.

  Pretty unajua KISHIDA?
   
Loading...