Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

Mkuu , kapime minyoo au kula dawa za minyoo pamoja na anti allerge yeyote kama cetrizine , loratadine etc likiwepo bado itabidi ukapime kipimo cha RFT yaani renal function test kama vile urea , uric acid , createnine
 
Mkuu , kapime minyoo au kula dawa za minyoo pamoja na anti allerge yeyote kama cetrizine , loratadine etc likiwepo bado itabidi ukapime kipimo cha RFT yaani renal function test kama vile urea , uric acid , createnine
Nitafanyia kazi ushauri huu mujarabu.
 
Nini kinasababisha kuwashwa mwili baada ya kutoka kuoga? Tatizo limenisumbua miaka 10 sasa.. Nikijisugua ndo nawashwa kabisa, nisipojisugua nawashwa kidogo afadhali lkn mtu huwezi kuoga bila kujisugua.

Najisugulia kitambaa laini kabisa, nikitoka kuoga nachanganyikiwa kwa kuwashwa mno na daktari aliniambia ninywe piriton kila kabla sijatoka kuoga na nikitoka kuoga lkn haikunisaidia kabisa.

Naombeni ushauri nifanye nn manake nimekata tamaa sina raha ya kushika maji hata kidogo. Mvua ikininyeshea nawashwa haswaa. Mwili unatutumka unavimba kila nikijikuna.
 
ilinitokea sana ninapooga maji baridi.....but nilipochange to maji ya moto vugu vugu ikipungua mpana kuisha...nilisumbuka sana na hospital bila mafanikio...jaribu kuoga maji ya uvugu vigu mkuu..pole!
 
Subacribed!!

Jinsi ulivoeleza ni kama mimi vile.

Mie hata nikijifuta na taulo tu ni shida, au hata nikicha lazima ntajikuna kidizain flan. Na muwasho somtimes unahama. Unaweza kujikuna miguu tu, wiki.ijayo ikawa ni tumbo na mgongo wiki ile nyengine ikiwa unawashwa mikono tu...afu inakuja mwili mzima. Yan ni kama mzunguko flan. Nateseka sana.

Niliwahi kuambiwa na daktar wa hospt flan kwamba hiyo ni alergy na dawa yake ni "kuacha kuoga"...nilitukana kimoyomoyo nikaondoka zangu.
 
Ni kweli usiku nnawashwa mpk napata hasira jmn

Kanunue dawa hiyo, unaoga then unajipaka mwili mzima asubuhi na usiku, kingine Fua nguo zote ulizonazo

Imej2033.jpg
 
Kuna dada alisumbuliwa na shida hiyo
Lakini alivyo acha pombe akapona
Naye alikuwa ni mlevi haswa siyo mchezo!
 
Back
Top Bottom