yusuphu lubuva
Member
- Jun 27, 2018
- 41
- 23
Habari za mda huu ndugu zangu.
Bila kupoteza mda naomba niende moja kwa moja kwenye maada, ni hivi wiki tatu zimepita nilinyoa zile nywele zinazozunguka haja kubwa as a matter of hygiene, naomba nisieleweke vibaya kama wengi wasemavyo ni ushoga, kilichinifanya Kuja kwenu ni kuwepo kwa muwasho flani hivi kama mtekenyo maeneo yanayozunguka haja maana situation hii Mara nyingi hutokeo usiku pale nianzapo kulala
Nimejaribu kuvumilia naona Sasa naelekea kushindwa maana akili yangu inajua labda inatokana na nywele kuanza kuota.
Hivyo basi kama nijuavyo humu kuna wataalam mbali ikiwemo doctors, nurses specialist nk naombeni msaada wa kitabibu na ushauri ili niweze kuondokana na tatizo hili
Ni matumaini yangu mtaweza kunisaidia
Nawapenda wote
Sent using Jamii Forums mobile app