Kuwasha kwa sehemu za kifua na nyuma ya shingo

Gogovivu45

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
229
133
Habari za asubuhi wadau.
ninajikita moja kwa moja kwenye uzi, Nina shida moja ya kupiga chafya hali inayopelekea kuhisi muwasho sehemu za kifua, mgongoni na sehemu ya shingo kwa nyuma, na kasi huwa ni kubwa majira ya usiku... japo sijaenda kwa doctor nimeona niweke hapa kwanza maana nina imani umu kuna wajuvi wa mambo sana..
msaada wenu please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom