Kuwarudishia Wameru Hekari elfu 3 alizouziwa Jerome CCM hamtaweza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwarudishia Wameru Hekari elfu 3 alizouziwa Jerome CCM hamtaweza.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Download, Mar 16, 2012.

 1. Download

  Download JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkapa acha usanii,ulichosema utamshauri kikwete hutakiweza.Serikali ya CCM ndio iliyo idhinisha na kuwauzia hekari elfu 3 walowezi toka south na zimbabwe.Kusema mtayarudisha mikononi mwa wananchi ni usanii,mtaweza kuburuzana nao mahakamani?,Richmond yenyewe imewashinda,waacheni CDM na wameru wenyewe wajipange namna ya kurudisha mashamba yao na sio kuwataka wahamie kilindi mkoani Tanga kama mlivyopendekeza.
   

  Attached Files:

  • Ccmt.jpg
   Ccmt.jpg
   File size:
   246.2 KB
   Views:
   45
  • Flag.jpg
   Flag.jpg
   File size:
   281.9 KB
   Views:
   1,227
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Yesu Wangu, Naremndu!!! jamani, hekari 3000? Kama wananchi wakigawiwa atleast hekari 2 kwa kilimo si watu wengi sana wangepata ajira??

  Jamani, nielekeze hilo shamba lipo upande gani wa Meru.

  Je hizo hela Jerome alizolipa, zilienda kwa nani? kwenye hazina ya thitiem, mifukoni mwa mafisadi au serikalini. je wameru wamefaidika na nini?
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  duh! Elfu 3? Bado Mwigulu Michembe anatetea. Mpuuzi kweli
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ufisadi uliokithiri!!
  Huwezi amini,Mtanzania huyo huyo aliyepokonywa haki yake ya msingi ya kumiliki ardhi,hana chakula,
  Na bado atapewa labda karushwa kadogo kama shs 30,000,kofia,kanga,bendera ,hatakumbuka hekari elfu tatu!!kwa mbwembwe atakipigia kura chama kilichomnyima ardhi halafu atacomplain baadae!!
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,876
  Trophy Points: 280
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  kuitetea ccm inahitaji kuwa na akili ya maiti
   
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo zote ni ahadi za uongo waulizeni watu wa Igunga hadi Magufuli alitumika kuwadanganya kuwajengea daraja!! baada ya uchaguzi hakuna aliyerudi kutekeleza zile ahadi. Wana wa Arumeru msiingie kwenye mtego wa CCM
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aliyewapa mashamba hao wa South Afrika ni nani? mbona hamumtaji jina na mnataja chama tu? kwani CCM ndio walikuwa wamiliki wa hiyo Ardhi?

  Hapa patamu sana, hakuna hata mmoja mwenye ujasiri huo!
   
Loading...