Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

Kama hujui nikujuze! Lowasa na kundi lake lote walikuja kuua chama! Kasome kitabu cha zBiblia YUDA 1.
Hao walikuwa na kazi maarum, nakazi yao inaonekana sasa! Ndo maana chama kinapukutika.

Walishasoma kila kitu.
Je,wamefanikiwa kukiua hicho chama?
 
CCM wanahua kuwa nfani ya CCM, wengi wana elemu ndogo na uelewa mdogo (report ya TWAWEZA). Wana nafasi mbalimbali siyo kwa sababu ya uwezo bali kwa nguvu ya dola.

Ukiona mtu alikuwa upinzani, halafu alishinda ununge/udiwani maana yake kukubalika kwake na uwezo wake haulinganishiki na yeyote ndani ya CCM maana aliishinda CCM na dola. Mtu huyo akienda CCM, hawezi kushindana na yeyote ndani ya CCM. Mwenyekiti, Bashiru na Polepole wanalijua hili ndiyo maana wale wanaotoka upinzani na kwenda CCM wanakuwa wamepitishwa kugombea bila kupingwa.
 
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Fanyeni kazi kwa bidii ili kukijenga upya chama, na matunda yake mtayaona hapo mbeleni. Jifunzeni mfano wa mwana mpitevu aliyedai kwa nguvu urithi wake, na kuamua kwenda ughaibuni na kufuja utajiri wote aliopewa na baba yake. Arudipo nyumbani hukaribishwa kwa ukarimu na kusamehewa, huvishwa vazi zuri na kufanyiwa sherehe ya pongezi. Kwa hiyo ni muda wa kuwakirimu waliopotea ili warudi nyumbani kukijenga chama pamoja na makada wafia chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga juhudi za Rais wetu? swali: KUWAPA NAFASI WAGOMBEA KUTOKA CHADEMA KUGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI CCM, WAKATI SISI TULIMPIGANIA JPM WAO WAKIiZUNGUSHA MIKONO NA LOWASA IMEKAAJE?

MAENDELEO HAYANA VYAMA!
SOMA BIBLIA
UTAKULA KWA JASHO LAKOO SIO CHAMA.CHAKOOOO MKUU.KOMAA TU
 
Aliye kwambia CCM ni ya wanachama ni nani? CCM ni ya wakubwa. hao ndio wanaoingia mkataba na hawa malaya wa kisiasa kwamba "wewe ukija tu kwetu, unapewa cheo au unapewa nafasi ya kugombea, tena bila kupingwa". nyie wafia chama kafieni mbali, shut up!
 
Kazi kwenye chama ni nyingi wewe unaweza hata kua kwenye kundi la watu mtaoshangilia tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kazi kwenye chama ni nyingi wewe unaweza hata kua kwenye kundi la watu mtaoshangilia tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hizi hapa
FB_IMG_1582003779057.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASI KUANZIA LEO KAMA NDIO HAYO BASI NA MIMI NAENDA CHADEMA ILI NIKIJA KUJIUNGA CCM WANIPOKEE KAMA MWANA MPOTEVU NILE VINONO
 
Kwa hiyo ni haki wao wapewe nafasi bila kushidanishwa na sisi wazawa? CHADEMA tumegundua janja yenu ya kushinda viti kwa mlango wa nyuma. KILA ANAYEKUJA ANATAKA AWE MGOMBEA.
Wakati wanahama chama mlikuwa mnawaita wazalendo wanapotaka nafasi zenu ndo mnakasirika
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom