Kuwahi na kuchelewa kumaliza nikiwa kwenye sex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwahi na kuchelewa kumaliza nikiwa kwenye sex

Discussion in 'JF Doctor' started by mashini, Aug 16, 2012.

 1. mashini

  mashini Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za asubuhi ndg zangu.

  Naombeni munielekeze ni namna gani naweza kufanya ninapofanya sex ili niweze kumaliza mapema au nisimalize mapema. naombeni michango yenu. natanguliza shukrani zangu kwenu.
   
 2. S

  Sangari Senior Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe huwa unachelewa au unawahi? Hujachanganua hapo.
   
Loading...