Kuwahi kupiga goli la kwanza, sababu ni nini kibaiolojia?

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,303
2,714
Habari ndugu zangu wa humu,

Mimi ni mdau wa humu yapata miaka zaidi ya 6.

Ishu inayonisumbua hivi kwanini ukikutana na mwanamke kimwili na round ya kwanza unawahi kukojoa haraka sana.

Pili na ya tatu unaeza usikojoe kabisa mpaka mpenzi au mchumba au rafiki akafika kilele na kuchoka anataka apumzike. Kitu gani hasa kinafanya uwahi sana mwenza ni nyege au ni tamaa au ni hasira au kutofanya muda mrefu na kwanini round za mbele unachelewa.

Pia nini kinasababisha ukojoe alafu unaunganisha juu kwa juu kumkuna mrembo? Unakuta anafika mara tatu we mara mbili alafu lakini moja ni one in two.

JF ni kisiwa cha intelligent mind/burudani na mi mkongwe hivo kila aina ya majibu nitakuwa na positive attitude.
 
Hapo Ndiyo Ulivyoumbwa Uwe Hivyo Wala Hamna Dawa iliyosalama Itakayokusaodia, bali itazidi Kukuumbua! Dawa hapo ni Moja tu Yaani (Natural Treatment) Nayo ni:-
Nusu Saa au Dakika 45 Kambla Ya Kugonga Mke au Demu, Hakikisha Unapiga Nyeto Moja Kimtindo hivi, Unamwaga Risasi Juu Kwa Juu Halafu Unaiacha Magazine itulie, Baada Ya Muda niliyoutaja Hapo juu, basi ingia Vitani uone! Hapo Partner Wako lazima Akuulize imekuaje leo??
Ukifanya Hivyo Ndani Ya Mwezi mmoja tu, Basi utatibu tatizo la kukojoa (Ejaculation) mapema kwa Asilimia 100%.
 
Duu iyo dawa hadi upige puli
 
thawa boss, ila puli sipigi...nilitaka nijue tu inakuwaje kuwaje...kumbe ndio baiolojia ilivo
 
Hapo Ndiyo Ulivyoumbwa Uwe Hivyo Wala Hamna Dawa iliyosalama Itakayokusaodia, bali itazidi Kukuumbua! Dawa hapo ni Moja tu Yaani (Natural Treatment) Nayo ni:-
Nusu Saa au Dakika 45 Kambla Ya Kugonga Mke au Demu, Hakikisha Unapiga Nyeto Moja Kimtindo hivi, Unamwaga Risasi Juu Kwa Juu Halafu Unaiacha Magazine itulie, Baada Ya Muda niliyoutaja Hapo juu, basi ingia Vitani uone! Hapo Partner Wako lazima Akuulize imekuaje leo??
Ukifanya Hivyo Ndani Ya Mwezi mmoja tu, Basi utatibu tatizo la kukojoa (Ejaculation) mapema kwa Asilimia 100%.
Duuh! Magazine tena? Kweli hii ni vita kali.
 
hiyo dawa kiboko
 
ukikurupuka ndo unakutana na hayo mkuu,fanya mambo bila papala utafanikiwa mfano mie bao zangu mshindo mpaka mwanamke hamu zake zote zinaisha
 
Tatizo lako linaitwa "Premature ejaculation". Hilo tatizo hauko pekee yako ni % kubwa ya wanaume wana hilo tatizo.
Naomba u google hilo tatizo kama nilivyo andika hapo juu utapata maelezo kwa kirefu. Ila mazoezi pia ni mojawapo ya tiba mbadala na jinsi ya kuzuia mkojo wakati kibofu kimejaa. Unakwenda jisaidia haja ndogo then katikati unasitisha zoezi kabla hujamaliza haja yako. ni katika
kukaza mishipa ya njia ya mkojo...
Ingawa mimi siyo tatibu nimekuelezea kimtaani. Akija tabibu anaweza kunyoosha maelelzo hapa. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom