Kuwahamisha waalimu toka sekondari kwenda shule za msingi ni kuharibu psychology za walimu

ushuhudaaa

Senior Member
Jan 16, 2017
132
57
Kuna minong'ono kwamba walimu wa masomo ya sanaa wanapelekwa shule za msingi kufanya kazi kwa kisingizio kwamba walimu wa masomo ya sanaa wamejaa shule za sekondari.

Hili sio sawa Serikali iangalie kwa mara ya pili.
 
Ili mradi wapate ajira badala ya kuzurura mitaani wakati wana taaluma. Ila serikali isiwapunje mshahara,walipwe kwa kiwango cha elimu yao.
 
Ni bora wafanye hivyo kwani kuna walimu wengi hasa wa masomo ya sanaa hawastahili kufundisha sekondari kabisa. Inafahamika kabisa kuwa sekondari lugha ya kufundishia ni kiingereza laikini unakuta mwalimu hawezi kuongea sentensi moja ya kiingereza hata sentensi moja. Na kingine ni kweli walimu wa masomo ya sanaa tupo wengi sana.
 
Pole sana mwalimu, inaelekea kuwa hata wewe una shaka na uwezo wako. Ni hatari sana kwa mtu asiyejiamini kuaminika.
 
Ni bora wafanye hivyo kwani kuna walimu wengi hasa wa masomo ya sanaa hawastahili kufundisha sekondari kabisa. Inafahamika kabisa kuwa sekondari lugha ya kufundishia ni kiingereza laikini unakuta mwalimu hawezi kuongea sentensi moja ya kiingereza hata sentensi moja. Na kingine ni kweli walimu wa masomo ya sanaa tupo wengi sana.
Wewe hufai hata uko primary utatuharibia watoto wetu
 
Ni bora wafanye hivyo kwani kuna walimu wengi hasa wa masomo ya sanaa hawastahili kufundisha sekondari kabisa. Inafahamika kabisa kuwa sekondari lugha ya kufundishia ni kiingereza laikini unakuta mwalimu hawezi kuongea sentensi moja ya kiingereza hata sentensi moja. Na kingine ni kweli walimu wa masomo ya sanaa tupo wengi sana.
Safi sana..
 
mm nimechoka na busta ya maths

Nina vipindi almost 30 per week bado Geog

wanipeleke primary nawaambiaa!
 
Back
Top Bottom