barakamorinho1357
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 294
- 325
Nikweli mkuu! Yaan Kuna Mambo unaweza kumuuliza Kama ushauri yeye analeta za vyuoni! Pia wanakejeri na dharau, mfano Mimi Kuna mmoja nilimwambia naomba ushauri nataka nifuge kuku kuanzia 100 eti akaniuliza " na huo ni ufugaji?" Nikamwambia ndio! Akasema kila la kheri!Jaribuni. Mimi nilijaribu kutoka mwaka juzi. Nimejifunza mengi. Kati ya mambo niliyojifunza ni kuwa veterianry officers ambao si wafugaji ni wababaishaji tu. Ushauri wao siyo reliable sana. Afadhali mfugaji mwenyewe akikupa ushauri unasaidia sana.
Chaajabu nikamkuta hum anatafuta ajira kwa wafugaji wa kuku!