Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
wapo watu watakoponda,kukashifu au kutoa kauli tofautitofauti juu ya mtu me/ke kuwa single.

Ningenda kuorodhesha baadhi tu ya faida ya mwanaume/mwanamke kuwa single.

Kuwa huru kufanya mambo/jambo lako kwa uhuru bila kutaka msaada kwa mwingine.

Kuwa huru kufanya lolote au kwenda popote muda wowote bila kipingamizi cha mtu yoyote.

Kuamua kwenda kuvinjari popote,kurudi muda wowote nyumbani bila kumuudhi au kumkwaza yeyote.

Kuwa na nafasi kubwa wa kuamua mambo na kuyafanya kwa kuisikiliza roho na si mtu mwingine.
Jamani kuwa single raha!

Mabachela mpooo.....?
Pamoja sana.
 
1) single is simple double is trouble

2) For Single Men >>> Bro`s over hoes

3) For Single girls >>> Chicks over D**cks
 
mkuu mbona unatetea hivyo au ndo cha mbavu aka kibuti unajipa ma hope..

Wiki iliyopita nilikuwa mbeya,nika drive with care.
Hamna wa kuniuliza,
Hapa npo Dodoma kama kawa na drive with care,

Raha sana kuwa Single.
 
Imagine umefikia miaka 55 hivi . wakati unaona yote umeshafanya, unakabiliwa na upweke, wanawake hawataki kuishi na wewe coz ushaanza kusumbuliwa na maradhi kama kisukari, presha nk
<br />
<br />
Majuto ni mjukuu.

Muda ndo kila kitu.
 
WoS Umesema kweli kabisa. Hawa senior bachelors wana karoho ka uchoyo na ubinafsi. Hawataki majukumu wala ku share wanataka ku enjoy life to the maximum. Ndio wale kina gari YANGU; nyumba YANGU, makochi YANGU, pesa ZANGU. uhuru WANGU

Faida ulizotoa zote zinalenga "ubinafsi" zaidi - UMIMI! Hujui dunia inahitaji zaidi ya umimi?Hebu jaribu kuweka faida zenye kujumuisha na wengine basi.
 
Kuna mtu alikuwa anachangia thread kwenye mtandao mmoja kuhusu malesbian. Nilicheka sana. Wakati watu wanaponda yeye anasema jamani waacheni tena waongezeke tupunguze idadi ya wezi wa wame zetu. Sasa nami ngoja niulize nyie ma single sex mnapata wapi??? au ndio yale yale ya kusuguana unaona wadada wako busy with ladies only company.
 
Back
Top Bottom