Kuwa SINGLE kuna raha zake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa SINGLE kuna raha zake!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Imany John, Aug 5, 2011.

1. Imany John

Imany John Verified User

#1
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180
wapo watu watakoponda,kukashifu au kutoa kauli tofautitofauti juu ya mtu me/ke kuwa single.

Ningenda kuorodhesha baadhi tu ya faida ya mwanaume/mwanamke kuwa single.

Kuwa huru kufanya mambo/jambo lako kwa uhuru bila kutaka msaada kwa mwingine.

Kuwa huru kufanya lolote au kwenda popote muda wowote bila kipingamizi cha mtu yoyote.

Kuamua kwenda kuvinjari popote,kurudi muda wowote nyumbani bila kumuudhi au kumkwaza yeyote.

Kuwa na nafasi kubwa wa kuamua mambo na kuyafanya kwa kuisikiliza roho na si mtu mwingine.
Jamani kuwa single raha!

Mabachela mpooo.....?
Pamoja sana.

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Aug 5, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
Ha haaaaaaaa
hii inaitwa mipasho sasa..lol
thread inajibiwa hapo hapo lol

3. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#3
Aug 5, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
mkuu mbona unatetea hivyo au ndo cha mbavu aka kibuti unajipa ma hope..

4. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#4
Aug 5, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Imagine umefikia miaka 55 hivi . wakati unaona yote umeshafanya, unakabiliwa na upweke, wanawake hawataki kuishi na wewe coz ushaanza kusumbuliwa na maradhi kama kisukari, presha nk

5. Viper

Viper JF-Expert Member

#5
Aug 5, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
umeonaaa... ehhh! waliokwenye ndoa ! wanajisifu Boss! acha na sisi tujiachie na sredi yetu

6. Viper

Viper JF-Expert Member

#6
Aug 5, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145  1) single is simple double is trouble

2) For Single Men >>> Bro`s over hoes

3) For Single girls >>> Chicks over D**cks

7. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#7
Aug 5, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Raha ya usingo kupiga punyeto, umri ukisogea mwenyewe utaoa

8. Imany John

Imany John Verified User

#8
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180
Wiki iliyopita nilikuwa mbeya,nika drive with care.
Hamna wa kuniuliza,
Hapa npo Dodoma kama kawa na drive with care,

Raha sana kuwa Single.

9. Mzee Wa Rubisi

Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

#9
Aug 5, 2011
Joined: Nov 6, 2010
Messages: 1,754
Likes Received: 71
Trophy Points: 145
mtoa mada hajui maana na neno SINGLE .

10. Imany John

Imany John Verified User

#10
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Hayo yako wala mi cjayasema hayo.
Hapo mi mgeni

11. FirstLady1

FirstLady1 JF-Expert Member

#11
Aug 5, 2011
Joined: Jul 29, 2009
Messages: 16,575
Likes Received: 541
Trophy Points: 280
Ujana maji ya moto

12. Imany John

Imany John Verified User

#12
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Majuto ni mjukuu.

Muda ndo kila kitu.

13. WomanOfSubstance

WomanOfSubstance JF-Expert Member

#13
Aug 5, 2011
Joined: May 30, 2008
Messages: 5,465
Likes Received: 72
Trophy Points: 0
Faida ulizotoa zote zinalenga "ubinafsi" zaidi - UMIMI! Hujui dunia inahitaji zaidi ya umimi?Hebu jaribu kuweka faida zenye kujumuisha na wengine basi.

14. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#14
Aug 5, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 570
Trophy Points: 280
Wakikua wataacha

15. Imany John

Imany John Verified User

#15
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Uzee ya Uvuguvugu?

Mabachelaaa!jamani

16. Imany John

Imany John Verified User

#16
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Mama umeamka wapi?
Kwani maana ya Single huijui?
Kama huijui nahuwezi elewa kwanin reason zimebase kwenye UMIMI

17. nyumba kubwa

nyumba kubwa JF-Expert Member

#17
Aug 5, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 10,279
Likes Received: 1,720
Trophy Points: 280
WoS Umesema kweli kabisa. Hawa senior bachelors wana karoho ka uchoyo na ubinafsi. Hawataki majukumu wala ku share wanataka ku enjoy life to the maximum. Ndio wale kina gari YANGU; nyumba YANGU, makochi YANGU, pesa ZANGU. uhuru WANGU

18. Imany John

Imany John Verified User

#18
Aug 5, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Wenye miaka miwili katika ndoA UTAWAJUA TU!

19. s

shosti JF-Expert Member

#19
Aug 5, 2011
Joined: Dec 21, 2010
Messages: 4,949
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
wengi huwa tunajidanganya kujipa matumaini hahahahahhahahaah!

20. nyumba kubwa

nyumba kubwa JF-Expert Member

#20
Aug 5, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 10,279
Likes Received: 1,720
Trophy Points: 280
Kuna mtu alikuwa anachangia thread kwenye mtandao mmoja kuhusu malesbian. Nilicheka sana. Wakati watu wanaponda yeye anasema jamani waacheni tena waongezeke tupunguze idadi ya wezi wa wame zetu. Sasa nami ngoja niulize nyie ma single sex mnapata wapi??? au ndio yale yale ya kusuguana unaona wadada wako busy with ladies only company.

Loading...