Kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa kwenye 'gereza la fikra'.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Wana-JF,

CHADEMA ni chama cha siasa ambacho nadiriki kukiita 'gereza la fikra' kwa namna ambavyo kinafanya uendeshaji wa masuala ya kisiasa hapa nchini!!

Chama hiki kinatumia mfumo wa kibabe na kiukandamizi wa "EITHER CHADEMA'S WAY OR NO WAY", huku wakitumia jina murua la 'DEMOKRASIA' visivyo halali, kwani jina hili haliendani kabisa na matendo ya CHADEMA.

CHADEMA imeweka vijana wetu katika 'gereza la fikra' hasa kwenye maeneo yafuatayo;

1. Viongozi wa juu wa CHADEMA wamekuwa wakilazimisha viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama wake wavae 'magwanda' jambo ambalo wanachama wengi ni kinyume na matakwa yao, kwani ina aminika usipo vaa magwanda unakua sio 'kamanda'.

2. CHEDEMA kimekuwa kikikandamiza viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama kuacha kuhoji kauli za mwenyekiti wa chama na katibu mkuu (Dr Slaa), hasa wanapotoa yale yaitwayo 'MATAMKO', hata kama hayana tija kwa chama wala taifa.

3. Aidha, viongozi wa juu wa CHADEMA wanapo dhamiria kufanya jambo la aibu na la fedheha, viongozi wa chini na wanachama hawana uhuru wa kuhoji, hata kama jambo hilo ni la kupingwa vikali. Hapa mtakumbuka kile kitendo cha kususia hotuba ya mhe Kikwete bungeni, ijapokuwa mhe Zitto alishauri waache ila walimpuuza.
 
Kwa wa CCM haulazimishi acha kuvaa uone cha moto; unakosa posho; malazi; kazi mzuri na ufisadi

1009651_118729581670502_2098279667_o.jpg

1004023_376069665830446_1231153662_n.jpg
 
BUUUUUUUUUUUUUUUUU!POLENI SANA PRO-CCMs.CHADEMA TUPO KAMILI GADO.2015 TUTAWAPANDIA JUU MKIPANDA,TUTAWASHUKIA CHINI MKISHUKA,TUTAPASUA MAWE MKIZIBA BARABARA YETU,TUTAVUALISHA MKIJUALISHA.PANYA NA FISI WALIOPO HALMASHAURI NA MAFISADI PAPA MTAWALIA TUTA WATAFUTIA PAKA NA MBU MWITU ILI TUONE NANI MSHINDI HATIMAYE.WEWE UNAJUA GEREZA LA FIKRA KWELI? Unaweza kulinganisha Demokrasia ndani ya CHADEMA NA CCM?ANGALIA KWA NINI WATOTO WADOGO HAPA TZ WANAIPENDA CHADEMA? Because of CDM ENCOURAGEMENT OF PARTICIPATION IN DECION MAKING EG.THE YOUTHS OF CHADEMA PREPARED AND CONDUCTED EDUCATIONAL CONGRATION WHICH WAS HELD IN DODOMA ON 9th June 2015,can you relate this with your thread? UNLESS YOU RELY ON INCORRECT CONSCIENCE.HIVI KATI YA BASI LA M4C NA GAMBA LIPI BORA?
 
Aren't you the same guy who brought us the unfounded thread about Lwakatare in Arusha?
 
Kuzaliwa CCM bahati mbaya ila kuishabikia ni uzezeta hususani kwa kijana kama wewe. Unaweza kuweka evidence katika ulichoandika au ndiyo fikra zako finyu zilikoishia?
 
We mleta mada akili yako sio nzuri. Naomba ukalale wenda ubongo wako ukawa fresh. Pia Mungu tunamwomba awachukue watu kama nyie mkapumzike motoni kwani hapa duniani hamna tija labda motoni.
 
Inawezekana ukawa sahihi kiasi lakini hebu angalia kwa matukio ya karibuni tu ni jinsi CHADEMA imekuwa inflitrated na vyombo vya usalama.Kwa nini haya yafanyike katika nchi ya kidemokrasia?
Unapotoa mfano wa Zitto ni kama unatak kufungua mjadala mwingine,ni kipi tunakijua kuhusu Zitto na UwT?.
Hata kama CHADEMA haitakamata nchi lakini imesaidia kutoa changamoto ambazo zinafanya wakubwa watembelee vidole na wanachi wanufaike,HILO ndilo jambo la MUHIMU kuliko YOTE!
 
Kama CCM ndo ina vijana wa aina yako bac ni lazima iondoke madarakani. Shame on u.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuzaliwa ccm bahati mbaya ila kuishabikia ni uzezeta hususani kwa kijana kama wewe. Unaweza kuweka evidence katika ulichoandika au ndiyo fikra zako finyu zilikoishia?

This Hammy-D has never posted anything of importance so you can forgive such people. Siyo makosa ao. Upeo mdogo wa kufikiri. Anataka kila mtu aonekane kama sunflower. Pole.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Heri ccm ambako tupo MISUKULE, hatuna muda wa kupoteza kujifikirisha, nambari wani

Kweli mkuu, japo mi siyo mwana CHADEMA, siwezi kujifanya msukule kwa kujiunga na CCM. CCM kimebakia kuwa genge la wauaji tu, cha mno wanachofikiria ni jinsi ya kumwaga damu za watu tu.
 
Wana-JF,

CHADEMA ni chama cha siasa ambacho nadiriki kukiita 'gereza la fikra' kwa namna ambavyo kinafanya uendeshaji wa masuala ya kisiasa hapa nchini!!

Chama hiki kinatumia mfumo wa kibabe na kiukandamizi wa "EITHER CHADEMA'S WAY OR NO WAY", huku wakitumia jina murua la 'DEMOKRASIA' visivyo halali, kwani jina hili haliendani kabisa na matendo ya CHADEMA.

CHADEMA imeweka vijana wetu katika 'gereza la fikra' hasa kwenye maeneo yafuatayo;

1. Viongozi wa juu wa CHADEMA wamekuwa wakilazimisha viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama wake wavae 'magwanda' jambo ambalo wanachama wengi ni kinyume na matakwa yao, kwani ina aminika usipo vaa magwanda unakua sio 'kamanda'.

2. CHEDEMA kimekuwa kikikandamiza viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama kuacha kuhoji kauli za mwenyekiti wa chama na katibu mkuu (Dr Slaa), hasa wanapotoa yale yaitwayo 'MATAMKO', hata kama hayana tija kwa chama wala taifa.

3. Aidha, viongozi wa juu wa CHADEMA wanapo dhamiria kufanya jambo la aibu na la fedheha, viongozi wa chini na wanachama hawana uhuru wa kuhoji, hata kama jambo hilo ni la kupingwa vikali. Hapa mtakumbuka kile kitendo cha kususia hotuba ya mhe Kikwete bungeni, ijapokuwa mhe Zitto alishauri waache ila walimpuuza.

See them fighting for power! But they know not the hour! Uwiii Uwiii Uwi Uwi! So they are fighting with guns spare parts and money! trying to be little our intergrity now, so they say what we know is only what they teach us,so when you gonna get some food your brotherman got to be your enemy! Bob Marley 1980, Calfonia.

Kibanda angeujuwa wimbo huu asingehamia mwananchi!
 
Nadhani kuwa ndani ya CCM ni majanga zaidi, CCM ndilo gereza la fikra hembu ona wabunge wake wakiibana serikali jinsi wanavyoitwa fasta kufungwa midomo na hao ni wabunge vp kwa mwanachama wa kawaida,mleta mada labda useme tu ulitaka kuja kuingiza siku kwa kuiandika CHADEMA humu.
 
2. CHEDEMA kimekuwa kikikandamiza viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama kuacha kuhoji kauli za mwenyekiti wa chama na katibu mkuu (Dr Slaa).

3 Hapa mtakumbuka kile kitendo cha kususia hotuba ya mhe Kikwete bungeni
, ijapokuwa mhe Zitto alishauri waache ila walimpuuza.

Hivi P, bila kumtaja Dr. na CHADEMA huwa hujisiki raha eh? usiku wa manane, unawaza CHADEMA, kwanini usilala ama utafute watoto?

Well, kumsusia JK ndio matunda ya katiba mpya, hata huyo ZK na mamvi wako wanafurahia!

USHAURI: uwe unapata muda wa kulala na kufikiri mambo mengine na kujali familia yako!
 
Tuma maombi ya U-CONSULTANT labda utafikiriwa!
Baada ya kuyaona ya CHADEMA unapewa muda kidogo utuletee ubora wa chama cha MBUNGE WAKO-NCHEMBA
 
Lowasa alilalamika sana kuhusu ajira kwa vijana kuwa ni bomu na mda wowote linaweza lipuka na sasa kakaa kimya kwa mda, unajua sababu gani iliyomfanya akae kimya? vijana wengi hasa wa UVCCM wamejiajiri kupitia buku7 fc na sasa wamepata ajira rasimi kwa kuiponda cdm tu 24/7 nanasikia kuna wengine wamekopeshwa simu galaxy s3 mini kwa makubaliano ya kukatana kupitia zile pesa za kila post na moja wapo ni huyu mleta Uzi
 
Hii imewagusa BAVICHA naona mipovu kibao. But ukweli ndiyo huu wanachadema hamna uwezo kabisa wa kuwapinga viongoz kwanin? Baadhi ya viongoz wenu wanawakimbiza hata mkikataa this realty. Bg up Hamy D kwa kuwa touch na imewaingia nzimanzima.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom