Wana-JF,
CHADEMA ni chama cha siasa ambacho nadiriki kukiita 'gereza la fikra' kwa namna ambavyo kinafanya uendeshaji wa masuala ya kisiasa hapa nchini!!
Chama hiki kinatumia mfumo wa kibabe na kiukandamizi wa "EITHER CHADEMA'S WAY OR NO WAY", huku wakitumia jina murua la 'DEMOKRASIA' visivyo halali, kwani jina hili haliendani kabisa na matendo ya CHADEMA.
CHADEMA imeweka vijana wetu katika 'gereza la fikra' hasa kwenye maeneo yafuatayo;
1. Viongozi wa juu wa CHADEMA wamekuwa wakilazimisha viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama wake wavae 'magwanda' jambo ambalo wanachama wengi ni kinyume na matakwa yao, kwani ina aminika usipo vaa magwanda unakua sio 'kamanda'.
2. CHEDEMA kimekuwa kikikandamiza viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama kuacha kuhoji kauli za mwenyekiti wa chama na katibu mkuu (Dr Slaa), hasa wanapotoa yale yaitwayo 'MATAMKO', hata kama hayana tija kwa chama wala taifa.
3. Aidha, viongozi wa juu wa CHADEMA wanapo dhamiria kufanya jambo la aibu na la fedheha, viongozi wa chini na wanachama hawana uhuru wa kuhoji, hata kama jambo hilo ni la kupingwa vikali. Hapa mtakumbuka kile kitendo cha kususia hotuba ya mhe Kikwete bungeni, ijapokuwa mhe Zitto alishauri waache ila walimpuuza.