Kuwa ndani ya CHADEMA ni kama kuwa kwenye 'gereza la fikra'.

BUUUUUUUUUUUUUUUUU!POLENI SANA PRO-CCMs.CHADEMA TUPO KAMILI GADO.2015 TUTAWAPANDIA JUU MKIPANDA,TUTAWASHUKIA CHINI MKISHUKA,TUTAPASUA MAWE MKIZIBA BARABARA YETU,TUTAVUALISHA MKIJUALISHA.PANYA NA FISI WALIOPO HALMASHAURI NA MAFISADI PAPA MTAWALIA TUTA WATAFUTIA PAKA NA MBU MWITU ILI TUONE NANI MSHINDI HATIMAYE.WEWE UNAJUA GEREZA LA FIKRA KWELI? Unaweza kulinganisha Demokrasia ndani ya CHADEMA NA CCM?ANGALIA KWA NINI WATOTO WADOGO HAPA TZ WANAIPENDA CHADEMA? Because of CDM ENCOURAGEMENT OF PARTICIPATION IN DECION MAKING EG.THE YOUTHS OF CHADEMA PREPARED AND CONDUCTED EDUCATIONAL CONGRATION WHICH WAS HELD IN DODOMA ON 9th June 2015,can you relate this with your thread? UNLESS YOU RELY ON INCORRECT CONSCIENCE.HIVI KATI YA BASI LA M4C NA GAMBA LIPI BORA?

Chadema kushinda 2005 ni ndoto labda kama mtabadili viongozi sio huyo aliyeshindwa kutii kiapo alichokula mbele ya mungu unadhani atatii kiapo atachokula mbele ya jaji? Dr ni janga hawezi kuongoza hata kata ataweza Tanzania?
 
hoja yako haiendani na maudhui,ukefikiria juju utaona kama
ni kweli lakini UKETAFAKARI kwa kina utagundua hicho ndo chama makini kwa sasa.JIULIZE kwanini watu wote makini wanaikubali CHADEMA pamoja na wewe ila umeandika hapa kwasababu tu umetumwa na ndo maana kichwa cha habari hakiendani na uliyoyaeleza katika MANTIKI hiyo inaitwa UPOTOSHAJI.
 
wakunyumba, nakuunga mkono sana kwa hilo. hawa BAVICHA ndo haswaa wamefungwa kabisa bongo zao ili wasiwe na uwezo wa kufikiri. ifike wakati sasa wajifunze kutoka kwa kaka zao UVCCM
pale songea hatuna wakunyumba mliokosa maarifa kama nyinyi nyie ni wamalawi mnaojificha kwa mgongo wa ccm kwa kuwa ccm ni kama pipa la taka basi alikatai uchafu
 
hoja yako haiendani na maudhui,ukefikiria juju utaona kama
ni kweli lakini UKETAFAKARI kwa kina utagundua hicho ndo chama makini kwa sasa.JIULIZE kwanini watu wote makini wanaikubali CHADEMA pamoja na wewe ila umeandika hapa kwasababu tu umetumwa na ndo maana kichwa cha habari hakiendani na uliyoyaeleza katika MANTIKI hiyo inaitwa UPOTOSHAJI.
DAH! UMEANDIKA KWA UFUPI LAKINI NIMEPENDA SANA UANDIKAJI WAKO KINA NAPE NA MWIGULU WAJE WASOME POST YAKO. very gud
 
wana-jf,

chadema ni chama cha siasa ambacho nadiriki kukiita 'gereza la fikra' kwa namna ambavyo kinafanya uendeshaji wa masuala ya kisiasa hapa nchini!!

Chama hiki kinatumia mfumo wa kibabe na kiukandamizi wa "either chadema's way or no way", huku wakitumia jina murua la 'demokrasia' visivyo halali, kwani jina hili haliendani kabisa na matendo ya chadema.

Chadema imeweka vijana wetu katika 'gereza la fikra' hasa kwenye maeneo yafuatayo;

1. Viongozi wa juu wa chadema wamekuwa wakilazimisha viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama wake wavae 'magwanda' jambo ambalo wanachama wengi ni kinyume na matakwa yao, kwani ina aminika usipo vaa magwanda unakua sio 'kamanda'.

2. Chedema kimekuwa kikikandamiza viongozi wake wa ngazi za chini na wanachama kuacha kuhoji kauli za mwenyekiti wa chama na katibu mkuu (dr slaa), hasa wanapotoa yale yaitwayo 'matamko', hata kama hayana tija kwa chama wala taifa.

3. Aidha, viongozi wa juu wa chadema wanapo dhamiria kufanya jambo la aibu na la fedheha, viongozi wa chini na wanachama hawana uhuru wa kuhoji, hata kama jambo hilo ni la kupingwa vikali. Hapa mtakumbuka kile kitendo cha kususia hotuba ya mhe kikwete bungeni, ijapokuwa mhe zitto alishauri waache ila walimpuuza.

usiandikie mate, hebu chapisha / toa nguo zenye mrengo wa ccm na chadema uone zipi zinanunuliwa na watanzania sio kuzigawa bure.

Pia unadhani wanaccm wanakubali kuvaa zile nguo ambazo wanashindwa hata kutembea nazo mitaani na kujivunia ukongwe wa chama na badala yake zimebaki kuvaliwa siku ya kuonana na viongozi pekee.
Kama huipendi cdm baki bila chama kwani sasa mgombea binafsi si anakuja!!!
We ng'ang'ania hilo jumba litakubomokea shauri zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom