Kuwa na wapenzi wengi, ni ujanja ama ushamba?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,269
40,054
Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba?
Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na mabinti (wanawake) wengi leo Ashura, kesho Mwanaidi, kesho kutwa Merry n.k Je huu ni ujanja ama ni ushamba tu?
 
Hupoteza muda wa kufanya mambo ya maana kwa kuwazia chain ya wanawake uliyonayo!

Pesa ndiyo haiwezi kukaa kabisaaaa! Na ukiiendekeza huwezi hata kujenga kichuguu cha vyumba hata viwili!

Ila ukweli ni kwamba hatutulii! Sote me na ke!

N.b. "Kuwa na wapenzi wengi siyo kipimo cha ulijari, kama we rijali wa kweli nyumbani wapate ugali ".

By Nikki Wa Pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha nimecheka sana ''kama we rijali wa kweli nyumbani wapate ugali ".
 
Back
Top Bottom