Kuwa na usafiri binafsi Dar sio anasa bali ni nyenzo ya kazi; Hawa ni wasafiri wanasubiri usafiri wa Umma almaarufu kama Mwendokasi

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,544
12,658
FB_IMG_1565760562200.jpg
FB_IMG_1565760570599.jpg
 
Watu huwa wanaambiwa, "Hapa Kazi Tu ",Huwa hawamuulizi na malipo /mshahara je? Waweza pigishwa kazi bila mshahara stahiki usipokuwa makini!
mbona wameshapiga sana dry mwaka wa nne sasa huu chungu cha mshahara kile kile
 
Ndio maana inatakiwa uwe makini na hizi slogans za wanasiasa. Unaweza toka kapa usipozipa tafakuru vya kutosha!
Hari mpya, nguvu mpya kasi mpua, duuu, kweli kasi ya kurudi nyuma.

hapa kazi tu, watu weameishia kisutu,
 
Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini

Wameiga machalii wa Moshi na Arusha.
bodaboda nao wanafanay hivyo ili wakikamatwa na polisi wanajifanya wametoka posta kazini.

wauza unga sehemu za sinza na mikocheni nao wanatumi viji rucksucks-rasketi .
wanaume wakienda gesti za short time wanabeba ili waoge na kubadili nguo huko.
watoto wakike wanabeba pants na pant liners, pia wanabeba pepeta kwenye vibegi.

watu wa kigoma na kanda ya ziwa wanabeba vimizizi walivyopewa na gamboshi ili wafanikiwe.
 
Huo mji unawenyewe mimi ntabeba shangazi kaja ntaweka mkia wa umbwa
 
Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini
Mkuu humo kuna vitendea kazi au bidhaa za kuuza.
Kutokana na mfumo wa maisha ya Dar ni more urban life kama vile metropolitan cities zingine duniani.
Wafanyakazi za ofisini, viwandani na biashara ndogondogo ni wengi.
Kuna wanaobeba laptop, vitabu na makaratasi, sare za kazini, nguo za kufanyia kazi zinazochafua kama ujenzi, bidhaa za machinga, n.k.
Huyo jamaa alie sema wanaiga watu wa chuga hajui kitu ni kutafuta sifa tu. Dar wameanza siku nyingi sana kubeba vibegi vya mkanda mmoja wa begani wakaacha sababu ya kuporwa na bodaboda, wakahamia kwenye hizo backpack au rasket.
 
Naam mkuu asante nimekuelewa vizuri.mimi huwa naona kwenye taarifa za habari nakua namaswali mengi hawa jamaa vipi..
Backpack ni nzuri zaidi kwa usalama tabu kwa wale wanaochomekea
 
Jamani huu upigaji picha hovyo mnaweza sababisha wenzenu tulale mzungu wa nne, kama unaishi Gongo la mboto mkeo anajua unauza matunda Buguruni halafu anakuona upo foleni ya kusubiri mwendokasi si balaa hilo
 
Back
Top Bottom