serikali ya magufuli, hapa kazi tu
mbona wameshapiga sana dry mwaka wa nne sasa huu chungu cha mshahara kile kileWatu huwa wanaambiwa, "Hapa Kazi Tu ",Huwa hawamuulizi na malipo /mshahara je? Waweza pigishwa kazi bila mshahara stahiki usipokuwa makini!
Hari mpya, nguvu mpya kasi mpua, duuu, kweli kasi ya kurudi nyuma.Ndio maana inatakiwa uwe makini na hizi slogans za wanasiasa. Unaweza toka kapa usipozipa tafakuru vya kutosha!
Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini
Wameiga machalii wa Moshi na Arusha.
bodaboda nao wanafanay hivyo ili wakikamatwa na polisi wanajifanya wametoka posta kazini.
wauza unga sehemu za sinza na mikocheni nao wanatumi viji rucksucks-rasketi .
wanaume wakienda gesti za short time wanabeba ili waoge na kubadili nguo huko.
watoto wakike wanabeba pants na pant liners, pia wanabeba pepeta kwenye vibegi.
watu wa kigoma na kanda ya ziwa wanabeba vimizizi walivyopewa na gamboshi ili wafanikiwe.
hawajatembea , waende mbeya, mwanza, kilimanjaro na arusha, wakutane wa wastaarabu, watoto weupe,Afu anakuja mjinga mmoja anasema dar ndo kila kitu, faken kabsa
Mkuu humo kuna vitendea kazi au bidhaa za kuuza.Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini
Mkuu humo kuna vitendea kazi au bidhaa za kuuza.
Kutokana na mfumo wa maisha ya Dar ni more urban life kama vile metropolitan cities zingine duniani.
Wafanyakazi za ofisini, viwandani na biashara ndogondogo ni wengi.
Kuna wanaobeba laptop, vitabu na makaratasi, sare za kazini, nguo za kufanyia kazi zinazochafua kama ujenzi, bidhaa za machinga, n.k.
Huyo jamaa alie sema wanaiga watu wa chuga hajui kitu ni kutafuta sifa tu. Dar wameanza siku nyingi sana kubeba vibegi vya mkanda mmoja wa begani wakaacha sababu ya kuporwa na bodaboda, wakahamia kwenye hizo backpack au rasket.
Ni kweli kuna kuwa na jasho lakini hakuna namna wanabeba hivyo hivyo,:sema wanabeba bega moja tu kama unawaangalia vizuri wengi wanao chomekea.Naam mkuu asante nimekuelewa vizuri.mimi huwa naona kwenye taarifa za habari nakua namaswali mengi hawa jamaa vipi..
Backpack ni nzuri zaidi kwa usalama tabu kwa wale wanaochomekea
Wanabeba vyupi/nepi zakubadlsha.Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini