Wakati nasoma UD. Niliwahi kukaa floor ya 11. Lift ikiharibika, basi inabidi ubebe kila unachokihitaji maana ukishashuka kupanda ni hadi usiku. Wakazi wa Dar wanakaa mbali. So unakusanya kila kinachoweza kuhitajika siku hiyo maana kurudi ni mpaka usiku.Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini
nalo nenoJamani huu upigaji picha hovyo mnaweza sababisha wenzenu tulale mzungu wa nne, kama unaishi Gongo la mboto mkeo anajua unauza matunda Buguruni halafu anakuona upo foleni ya kusubiri mwendokasi si balaa hilo
Wameweka laptop na baadhi ya mafaili ya kazini.Wakazi wa dar wanapenda kutembea na vibegi mgongoni kwanini
Kinachotakiwa ni Sumatra kuruhusu bus za semiluxury na Luxury kubeba abeba abiria kwa semiluxury ziwe youtong 2x3 nauli iwe 2000 na Luxury iwe Zongtong au asiastar 2x2 nauli iwe5000, watu wengi wataamua kuacha magari nyumbani au kuyaegesha kando ya mji na kupanda usafiri wa huo wa Luxury.