Kuwa na simu iliyopasuka kioo ni alama ya kutojali ya mmiliki?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,041
10,463
Kupitia matendo na vitu tulivyonavyo vinaweza kueleza aina ya tabia tulizonazo Je kumiliki smartphone iliyopasuka kioo kama utando wa buibui inaweza kumtambulisha mhusika kuwa ni careless.?
 
mi nadhani ni uswahili tu kua hua tunarekebisha kitu pale kinapoanza kuleta ukakasi katika matumizi.
 
Wale wa samsung mtuache jamani.

Simu umenunua laki 500k,kioo kinauzwa 450k.
Unaona wacha nitulie labda nitapata cha ei poa,ndio kinaongezeka kabisa.
 
Back
Top Bottom