kuwa na rafiki wa kike ambaye si mpenzi wangu huniwia ngumu sijui ni kwa nini......

Yah hii kitu kumbe inawabamba wengi nilifikiri ni mimi mwenyewe ndio huwa inaniwia ngumu kumbe sio
hivyo sasa kuna haja ya kubadilika ili kujikontro au twende hivihivi
 
Kwa kweli ni ngumu sana hususan kama ukiwa tayari kwenye mahusiano na mtu. The cloud of suspicion will always be there somehow, someways.

Urafiki huu unawezekana tu kama mnakuwa naye as a mutual friend ili mwenzako naye ajue ni urafiki wa kawaida na aweze kuwa huru naye.This works better.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom