KUWA NA NDEVU HAKUKUFANYI UONEKANE WEWE NI MWANAMME...

Kuna utofauti gani na nilicho andika mimi.?
Duuuuh. Ulichoandika wewe ni kuwa wenye ndevu sio wanaume hasa wakati mtoa maada alimaanisha ndevu hazikufanyi kuwa mwanaume. Yaani manaake si kila mwenye ndevu ni mwanaume na hakumaanisha wenye ndevu wote si wanaume. Kwa kifupi hapo hakuna point ya kuogopa kuwa nyie wenye ndevu mnaweza kueleweka vibaya na jamii. Nimejitahidi ingaw ualimu nao ni mgumu na sina utaalamu nao kabisa
 
Back
Top Bottom