KUWA NA NDEVU HAKUKUFANYI UONEKANE WEWE NI MWANAMME...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
KUWA NA NDEVU HAKUKUFANYI  UONEKANE WEWE NI MWANAMME.jpg
 
Strong woman hata hawaangalii au kuwageukia ili apate huruma yao. Kamshikilia mwanae hadi raha akifika nyumbani au anakoenda anaweka maji ya uvuguvugu yenye chumvi kwenye beseni kubwa la kufika magotini analia za maji na kuweka miguu yake kwa nusu saa hadi dakika 45. Uchovu wote wa kusimama unaisha.

Habari ya siku nyingi Mzizi..... nimemiss nyuzi zako za tiba asilia na uchambuzi au Mahaba yamenifunika sioni kitu? Hehehee.

Good day to you.
 
Dada nilikuwa nipo Busy na wagonjwa wa Hepatitis B Virus,Ukimwi ,Saratani, Kiharusi na Ugonjwa wa Kisukari nipo busy sana kuwatibia hao wagonjwa basi ninakuwa sina nafasi kabisa lakini nitarudi tena ulingoni. mzima lakini?
 
Strong woman hata hawaangalii au kuwageukia ili apate huruma yao. Kamshikilia mwanae hadi raha akifika nyumbani au anakoenda anaweka maji ya uvuguvugu yenye chumvi kwenye beseni kubwa la kufika magotini analia za maji na kuweka miguu yake kwa nusu saa hadi dakika 45. Uchovu wote wa kusimama unaisha.

Habari ya siku nyingi Mzizi..... nimemiss nyuzi zako za tiba asilia na uchambuzi au Mahaba yamenifunika sioni kitu? Hehehee.

Good day to you.
Kumbe ndio mnavyofanyaga kuondoa uchovu
 
Siyo kila mwenye ndevu ndio ana tabia hizo. Hiyo ni hulka ya mtu mwenyewe kukosa ubinadamu katika situation kama hiyo. Assume ingewakuta ambao wana vipara hapo mngesema kuwa na dongo hakukufanyi uwe mwanaume.?

Msitake kutufanya wenye ndevu tunze kuchukiwa.
Duh mkuu ndio ulichoelewa kwenye huu uzi au unatania?!
 
Hao jamaa huenda huyo demi aliwahi kuwaletea dharau,
Si mnajua hawa viumbe wanavyojiona keki?
Unaweza hata ukamsalimia tu,akakuangali kisha akakusonya na kukuambia mimi sio type yako,
Hapo sasa type yake ni hilo bomba
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom