Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana,wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Eti nimekimbia lol! hahahaha ndiyo ukweli huo. Wote bomba sijaona tofauti na kama ulivyosema mvuto ni muhimu sana kuliko rangi ya mhusika . Huwezi kumkubali mwanaume kwa sababu tu ana rangi hii au ile na kwa mimi binafsi siwezi kuanza mtongozo kutokana na rangi tu ya mhusika. Kwanza kuwe na mvuto hilo la weupe, maji ya kunde/maharage, rangi ya chungwa au weupe wala halina umuhimu kihivyo. Nadhani nimeeleweka.

Sawa naona unakimbiaa ahahha

Mi mwanaume yeyote ili mradi handsome tu mwenye mvuto
Awe mweupe ,mweusii,maji ya kunde sawa tu ili mradi anivutie tu
 
Eti nimekimbia lol! hahahaha ndiyo ukweli huo. Wote bomba sijaona tofauti na kama ulivyosema mvuto ni muhimu sana kuliko rangi ya mhusika . Huwezi kumkubali mwanaume kwa sababu tu ana rangi hii au ile na kwa mimi binafsi siwezi kuanza mtongozo kutokana na rangi tu ya mhusika. Kwanza kuwe na mvuto hilo la weupe, maji ya kunde/maharage, rangi ya chungwa au weupe wala halina umuhimu kihivyo. Nadhani nimeeleweka.
Hapo umenena
 
  • Thanks
Reactions: BAK
jaman tupo wengi! mie huwa nagEuza shingo jaman !hapana kwakweli wale wamenishika pabayaaaaaa! sasa sijui nahesabiwa 'NAZINI"?
teh teh teh,hamn bhana kugeuza Shingo imo mbona,hata muumba analijua ilo ndo maana halipo katika amri 10
 
Wanawake wembamba ndo huwa wazuri na wanavutia sana kuwafanya wife.. Hata kama unatembea nae barabara unajihisi furaha moyoni.. Ila sasa ni wanaviburi alafu wakorofi balaa yaani kukusaliti haoni shida.. Tena ukute kembamba alafu alafu kana rangi ya chocolate... Uwiiiiiiiii hapo lazima ufe kabla ya siku ulizopangiwa na Mola.. Wanawake wembamba salam zenu popote mlipo ila punguzeni dharau baaaaasii
Mhhhh kama kuna ukweli hivi ngoja nihakikishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom