Kuwa na Mke bila mchepuko ni hatari kwa usalama wa ndoa yako

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
860
1,382
Nimeipenda hii koment na huu ndio ukweli

Kuna stress nyingi kwenye ndoa ambazo mke anazisababisha kwa mumewe!

Mwanaume hupandwa na stress na ghadhabu Kali ambazo ni hatari kwa afya ya mume, na Mara kadhaa hasira hizi zinaweza kuleta hatari iwapo mume ataamua kuchukua hatua dhidi ya mkewe

Ni ajabu Sana, mastress, mahasira huyeyuka Kama barafu pale mume mwenye hasira anapomkumbuka mchepuko wake, Niwape Siri wadada, kuwa pale wanapoona wanamshambulia mume kwa matusi, kumkashifu, kumnyima tendo la ndoa,na huyo mume yupo normal, au hata sometimes anatabasamu tu bila kughadhibika na kufanya Jambo la hasira, wajue fika hio Ni nguvu ya mchepuko!

Kwa kweli ndoa yenye afya inahitaji mchepuko, na hii Ni kwa sababu tu wanawake wamepoteza uwezo wa kuhandle ndoa zao.

Ila please, kwa heshima ya mke, mchepuko awe pisi kali, na aheshimu ndoa ya mwanamume!
 
Dah!japo mala nyingi taarifa zitolewazo hapa huwa nahisi si za kweli,

Lakini naomba tu nikiri nimekuwa nikinyimwa tendo na mke wangu kwa visingizio vya kuchoka,hajisikii kufanya nk,

Muda wote huo nilishapanga kumfukuza ila nikawa nakwama kwa sababu ya ndoa kikristo na watoto,

Nikaamua kutafuta mpango wa kando hakika nashukuru na sasa kidogo makunyanzi ya hasira yameanza kupotea,

Nakubaliana na mtoa post kwa 100%
 
Mr.Zedude big up!
Nimeipenda hii koment na huu ndio ukweli

Kuna stress nyingi kwenye ndoa ambazo mke anazisababisha kwa mumewe!

Mwanaume hupandwa na stress na ghadhabu Kali ambazo ni hatari kwa afya ya mume, na Mara kadhaa hasira hizi zinaweza kuleta hatari iwapo mume ataamua kuchukua hatua dhidi ya mkewe

Ni ajabu Sana, mastress, mahasira huyeyuka Kama barafu pale mume mwenye hasira anapomkumbuka mchepuko wake,
Niwape Siri wadada, kuwa pale wanapoona wanamshambulia mume kwa matusi, kumkashifu, kumnyima tendo la ndoa,na huyo mume yupo normal, au hata sometimes anatabasamu tu bila kughadhibika na kufanya Jambo la hasira, wajue fika hio Ni nguvu ya mchepuko!

Nadhani kinachotakiwa uwe na pesa, hakuna mchepuko wa kukupenda kama huwezi kucover bill zake.

Mchawi pesa tu.
 
Mr.Zedude big up!
Nimeipenda hii koment na huu ndio ukweli

Kuna stress nyingi kwenye ndoa ambazo mke anazisababisha kwa mumewe!

Mwanaume hupandwa na stress na ghadhabu Kali ambazo ni hatari kwa afya ya mume, na Mara kadhaa hasira hizi zinaweza kuleta hatari iwapo mume ataamua kuchukua hatua dhidi ya mkewe

Ni ajabu Sana, mastress, mahasira huyeyuka Kama barafu pale mume mwenye hasira anapomkumbuka mchepuko wake,
Niwape Siri wadada, kuwa pale wanapoona wanamshambulia mume kwa matusi, kumkashifu, kumnyima tendo la ndoa,na huyo mume yupo normal, au hata sometimes anatabasamu tu bila kughadhibika na kufanya Jambo la hasira, wajue fika hio Ni nguvu ya mchepuko!

Kwa kweli ndoa yenye afya inahitaji mchepuko, na hii Ni kwa sababu tu wanawake wamepoteza uwezo wa kuhandle ndoa zao.

Ila please, kwa heshima ya mke, mchepuko awe pisi kali, na aheshimu ndoa ya mwanamume!
Duh...
 
Dah!japo mala nyingi taarifa zitolewazo hapa huwa nahisi si za kweli,
Lakini naomba tu nikiri nimekuwa nikinyimwa tendo na mke wangu kwa visingizio vya kuchoka,hajisikii kufanya nk,
Muda wote huo nilishapanga kumfukuza ila nikawa nakwama kwa sababu ya ndoa kikristo na watoto,
Nikaamua kutafuta mpango wa kando hakika nashukuru na sasa kidogo makunyanzi ya hasira yameanza kupotea,
Nakubaliana na mtoa post kwa 100%
Siku moja moja jaribu kumuhonga mkeo hawezi kukwambia kachoka.

Ela ya kuhonga madanga mnunulie hata pafyumu, chupi na mzinga wake wa dompo.

Tuishi nao kwa akili na akili zenyewe ndio hizi muwe mnajiongeza, mke pia anahongwa.
 
Maazimio ya kikao cha robo mwaka ilisemekana yasiandikwe humu
Naam
IMG_20220320_140947.jpg
 
Dah!japo mala nyingi taarifa zitolewazo hapa huwa nahisi si za kweli,
Lakini naomba tu nikiri nimekuwa nikinyimwa tendo na mke wangu kwa visingizio vya kuchoka,hajisikii kufanya nk,
Muda wote huo nilishapanga kumfukuza ila nikawa nakwama kwa sababu ya ndoa kikristo na watoto,
Nikaamua kutafuta mpango wa kando hakika nashukuru na sasa kidogo makunyanzi ya hasira yameanza kupotea,
Nakubaliana na mtoa post kwa 100%
Naam,
WANAUME wasiochepuka ndoa zao ziko hatarini Sana kuvunjika maana KERO za ndoa hazina pa kupozewa.

Pia ni rahisi sana kushambuliwa na mgonjwa ya kisukari,presha,kiharusi, na mkanda wa jeshi.
 
Mke ni kwa ajili ya kujenga familia na kuzaa naye watoto; ila michepuko ni kwa ajili ya starehe...ndio maana huwa inaomba hela.
 
Naam,
WANAUME wasiochepuka ndoa zao ziko hatarini Sana kuvunjika maana KERO za ndoa hazina pa kupozewa.

Pia ni rahisi sana kushambuliwa na mgonjwa ya kisukari,presha,kiharusi, na mkanda wa jeshi.
Una mke bado uongeze mchepuko, na kila mmoja ana mchepuko wake.
Hiyo ni risk financially & medically.
Ndoa ni hatari kuliko hatari yenyewe.
 
Nyieee...kwamba nasi walokole tutafute mpango wa kando AU siyo?
 
Wanaume wamesahau majukum yao wanajua mke ni kula na kulala na kuzaa tu ilo tendo la ndoa walio wengi hawalimudu na ndo maana hata iyo michepuko yao yenyew nayo inachepuka nao wanatafuta wakuwastarehesha

Msije na makasiriko hapa
 
We jamaa umenikumbusha kitambo kidogo kuna siku nilikwenda kwa mchepuko nikatumikia uko weee hiyo mazabahu

Baada ya kumaliza machale Yakanicheza kuwa leo home lazima wife nae atataka shoo halafu mm huku nimeshatumika vibaya mnoo si niona bora nipake mkongo a.k.a kishungi au kilemba na kwl nilipofika om wife akataka shoo aisee alichezea kichapo kisichokua chake
 
Back
Top Bottom