Kuwa na kompyuta Korea Kaskazini unahitaji kibali cha polisi

kaachonjo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
203
68
Nchini Korea Kaskazini ili uweze kumiliki computer unahitaji kibali cha polisi na hivyo basi unatakiwa kuandika maelezo ya ni kwa nini uruhusiwe kumiliki computer. Vipi hapa Tanzania?

Huduma ya internet inapatikana tu kwa viongozi wa juu wa kisiasa nchini humo, wanafunzi wa vyuo vikuu, na maafisa wa serikali.

Nchi hiyo inakadiriwa kuwa na tovuti kati ya 1,000 mpaka 5,500 kwa mujibu wa gazeti la Toronto Newz la Marekani. Computer zote zinazotumiwa nchini Korea Kaskazini zinatumia operating system moja inayoitwa Red Star OS ambayo inafanana sana na iOS ambayo ilitengenezwa hukohuko Korea Kaskazini. Wenyewe wanadai ni kwa sababu za kiusalama wa mifumo yao ya computer.

Kwa sasa watumiaji wa mtandao waliopo hewani online users wanakadiliwa kufikia 3,417, 209, 810 na hivyo kupelekea umoja wa mataifa July 2016 kupitia azimio lake nambari A/HRC/32/L.20. kuitangaza “online freedom” kuwa ni sehemu ya haki za binadamu (Human Rights).

Vipi hapa nyumbani?
 
!
!
hakuna tofauti kubwa sana. Huku kuna masheria ya ajabu ajabu mno na polisisiem ambao wao wako macho kuwatia mbaroni watu watakaoandika yale wasioyapenda...bora huko ukinyimwa kibali basi kuliko huku ambako iko kama mtego.
 
unaposema hakuna tofauti wakati North Korea ukiandika ulivyoandika wewe ni marehemu mtarajiwaa....Nyumbu wewe unakaa hapa nyuma ya Keyboard unaandika upupu na jioni unarudi kwa mkeo ukiwa na ma.ke.nde yako yote halafu unasema hakuna tofauti?
 
hihihihi hihihiiii umeoba eeh....hata mimi namshangaa huyu nyumbu.
 
unaposema hakuna tofauti wakati North Korea ukiandika ulivyoandika wewe ni marehemu mtarajiwaa....Nyumbu wewe unakaa hapa nyuma ya Keyboard unaandika upupu na jioni unarudi kwa mkeo ukiwa na ma.ke.nde yako yote halafu unasema hakuna tofauti?
Sasa mkuu ulitaka m.a.k.e.n.d.e yake amwachie nani......??
 
Yaani wewe (mtz) ujifananishe na N/korea,wakati wenzako wametengwa na jumuia ya kimataifa na hawatetereki,wakati wewe umetishiwa kukosa pesa za MCC tu akili zilianza kuwaruka viongozi wenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom