Kuwa na hamu ya kufanya mapenzi kupitiliza kipimo

NYOTIENO JARIEKO

Senior Member
Apr 29, 2017
196
324
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.

Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).

Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .

Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.

1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?

2.Inawezekana kutibika ?

3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?

Msaada inahitaji wakuu.
 
Na Mimi majibu utakayopata utakua umenisaidia kuuliza mkuu maana mnala unasoma kila mdaa Na kila baadae ya siku moja napiga mzigo
 
Mh bora muachane kweli, kumtanua tu mtoto wa watu.
Mkuu msada wako inahitaji sana.
 
Hahaahh piga nyeto bro
 
Umri ndo tatizo. Nilivyokuwa na umri Kama wako ilinitesa pia, mi ilikuwa kila nikilala tu ile naamka mnara na hapo ili Mambo mengine yaendelee ilikuwa Ni sharti nipate dozi kwanza ikishindikana kabisa Basi bao la mkono lilihusika.
Wakati huo nilikuwa tayari nishaoa ila ilifika time wife alinichoka kabisa na kuanza kunipangia ratiba hapo ndipo ugomvi mkubwa ulipoibuka na nikajikuta mikononi mwa kimwana mmoja hivi ambaye kila saa anapokea kichapo dah ndugu yangu nilipofika 30 Sasa nikaanza kuona mie ndo nasumbuliwa na wanawake wengine nikawa nablock kabisa.
Yani for now imefika mahali ninakinai sijui ndo uzee maana kwa nyakati hizi ukihitaji Ni Kama kukimbiza kuku wa kisasa tu.. akigoma kwanza unashukuru afu unafunga zipu unaendelea na kazi
 
Tatizo ni saikolojia yako.
Umejiswitch kuwa huwezi kuishi bila ngono
Cha kufanya jiepushe na chochote kinachohusu ngono..iwe movie/maongezi/picha na hili swala acha kulipa uzito mkubwa ikiwezekana usilifikirie kabisaetc
Jiamini mkuu pitisha wiki/baada ya wiki mwezi jafanya wala hufi la sivyo utakua kama una kichaa cha ngono
 
Sorry,,, ila hapo inaonekana akili na mawazo yako yapo kwenye sex ndio maana kila mda unawazia,,
Karbu kujisahaulisha uone kama ujabadlika na mda una do jitaid kuwazaunachokifanya
Jicontro pekeako ndio dawa
 
Huna tatizo lolote kama hawezi kukuridhisha hilo ni tatizo lake. Huhitaji kumuona mtaalamu yeyote.
 
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.

Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).

Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .

Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.

1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?

2.Inawezekana kutibika ?

3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?

Msaada inahitaji wakuu.
We owa acha kuchezea watoto wa watu hafu kisha uwaache.
 
Back
Top Bottom