Kuwa na fikra tofauti na yeye ni kukosa uzalendo?...Democracy ni gurudumu

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,378
12,926
Kama kweli anakosa washaur au hashauriki basi kiukweli kabisa hata juhud anazoclaim kuzifanya za kupambana na ufisadi atazinajisi na design yake ya utawala.

Kwan yeye anatakaje?asifiwe tuh na akikosolewa basi ni kukosa uzalendo...kweli?haya mambo sana sana utayaona katika nchi kama ya kagame na museveni tuh...lakin kwa nchi kama hiii ambayo gurudum la demokrasia limeshika hatamu ni vigumu sana...na ataona kama anapingwa huku akijiona ana dhamira njema ila kutokana na hii hulka yake ya kutaka kulazimishwa kusifiwa kwa kila kitu...

Wale masheikh wala hawakuwa wanatetea uislam wala kupigania dini na ugaidi...

Mimi nilikuwa wa kwanza kuchukizwa na uamsho kutumia mwamvuli wa dini katika kudai zanzibar yao na kuhoji kero za muungano kipindi kile...

Yes hawakuwa sahihi na kama dola ikawatia hatiani ni vyema sasa watu wale wakafikishwa mahakani wakasomewa mashitaka yao na kama wakiwa na hatia basi na wapewe kifungo chao....lakin kuendelea kuwashikilia without trial ni makosa hata katika mahakama za kimataifa

Na ndiyo mambo hayo hayo yalimpelekea obama kupiga domotupu la kutaka kuifunga guantanamo..
Ajabu leo waja kuifananisha guantanamo na segerea na kuisifu kana kwamba ni jambo linalofaa...

Vyama vya upinzan dhamira yao nao ni kushika dola...siyo kusifia chama tawala wala kupongeza...

Chama tawala kifanye majukum yake na sisi wananchi tuna akili timamu tutaona...

Wapinzan nao kama wakikaa kupiga domo tupu na kelele sisi wapiga kura tuna akili na macho tunaona na tutawahukumu...

Lakini hii style ya kamata kamata..tishana tishana...vijembe na kuhutubiana kwa ukali kana kwamba mtu anaongea na watoto wake inakera sana...

Na why iwe one man show?...kama dhamira ya kweli ipo kwanin katiba ya warioba isisimikwe tukaiona hiyo dhamira yenyewe?...

Kuongoza dola ni pamoja na kukubali kukosolewa...na si kila anaekosoa basi eti amekosa uzalendo...

After all what kind of uzalendo is he talking about ili hali haya madudu yote yamefanywa na hao hao CCM?...

2020 hii hapa kwenye kona na wasidhani kama ni mbali.
 
Hii ni hoja ambayo wengi sana wanairuka, hawaioni au hawaijui

Masheikh kukamatwa si tatizo ikiwa kuna makosa wanayotuhumiwa kuyatenda
Hayo yanatokea mbele ya mkondo wa sheria

Kuwafikisha mahakamani ni haki, kusiklizwa kesi ni haki na hukumu ya mwisho ni haki
Haki hiyo ni kwa mtuhumu na mtuhumiwa na ndivyo sheria inavyosema

Kuwashikilia pekee kama inavyosemwa bila kuwafikisha mahakamani kwa muda uliopo ni kutoa 'haki' kwa mtuhumu na ''kumnyima haki'' mtuhumiwa bila kufuata mkondo wa sheria tuliokubaliana utuongoze kisheria

Tatizo linaloanza kujitokeza ni kuchukua kesi ya Uamsho ambayo ni matatizo ya Zanzibar, halafu kuifanya sehemu ya matatizo mengine yanayojitokeza huku bara.

Kama kuna uhusiano wa tuhuma za awali na ushahidi mwingine unaoendelea kupatikana ni haki vyote vikafikishwa mbele ya sheria ili haki itendeke kwa mtuhumu au mtuhumiwa.

Kwa bahati mbaya kauli zinazotolewa zimeondoa hoja ya msingi na kuamsha hisia
Tafsiri ya kila mmoja kwa mwenendo na kauli zilizopo inaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wa kila mmoja

Ikifika hapo kuna tatizo, tutakuwa watu milioni 45 kila mmoja akitazama jicho lake linapopenda na si kule sote tunakotakiwa tuelekee kama taifa
 
Mkuu Nguruvi3.

Asante sana.

Hii ni hoja ambayo wengi sana wanairuka, hawaioni au hawaijui

Masheikh kukamatwa si tatizo ikiwa kuna makosa wanayotuhumiwa kuyatenda
Kutuhumu hakutoshi kuwa ni kesi na hukumu. Hayo yanatokea mbele ya mkondo wa sheria

Kuwafikisha mahakamani ni haki, kusiklizwa kesi ni haki na kupata hukumu ya mwisho ni haki
Haki hiyo ni kwa mtuhumu na mtuhumiwa na ndivyo sheria inavyosema

Kuwashikilia pekee bila kuwafikisha mahakamani kwa muda uliopo ni kutoa 'haki' kwa mtuhumu na ''kumnyima haki'' mtuhumiwa bila kufuata mkondo wa sheria tuliokubaliana utuongoze kisheria

Sio kwa nondo hizo mkuu!
 
Kama kweli anakosa washaur au hashauriki basi kiukweli kabisa hata juhud anazoclaim kuzifanya za kupambana na ufisadi atazinajisi na design yake ya utawala.

Kwan yeye anatakaje?asifiwe tuh na akikosolewa basi ni kukosa uzalendo...kweli?haya mambo sana sana utayaona katika nchi kama ya kagame na museveni tuh...lakin kwa nchi kama hiii ambayo gurudum la demokrasia limeshika hatamu ni vigumu sana...na ataona kama anapingwa huku akijiona ana dhamira njema ila kutokana na hii hulka yake ya kutaka kulazimishwa kusifiwa kwa kila kitu...

Wale masheikh wala hawakuwa wanatetea uislam wala kupigania dini na ugaidi...

Mimi nilikuwa wa kwanza kuchukizwa na uamsho kutumia mwamvuli wa dini katika kudai zanzibar yao na kuhoji kero za muungano kipindi kile...

Yes hawakuwa sahihi na kama dola ikawatia hatiani ni vyema sasa watu wale wakafikishwa mahakani wakasomewa mashitaka yao na kama wakiwa na hatia basi na wapewe kifungo chao....lakin kuendelea kuwashikilia without trial ni makosa hata katika mahakama za kimataifa

Na ndiyo mambo hayo hayo yalimpelekea obama kupiga domotupu la kutaka kuifunga guantanamo..
Ajabu leo waja kuifananisha guantanamo na segerea na kuisifu kana kwamba ni jambo linalofaa...

Vyama vya upinzan dhamira yao nao ni kushika dola...siyo kusifia chama tawala wala kupongeza...

Chama tawala kifanye majukum yake na sisi wananchi tuna akili timamu tutaona...

Wapinzan nao kama wakikaa kupiga domo tupu na kelele sisi wapiga kura tuna akili na macho tunaona na tutawahukumu...

Lakini hii style ya kamata kamata..tishana tishana...vijembe na kuhutubiana kwa ukali kana kwamba mtu anaongea na watoto wake inakera sana...

Na why iwe one man show?...kama dhamira ya kweli ipo kwanin katiba ya warioba isisimikwe tukaiona hiyo dhamira yenyewe?...

Kuongoza dola ni pamoja na kukubali kukosolewa...na si kila anaekosoa basi eti amekosa uzalendo...

After all what kind of uzalendo is he talking about ili hali haya madudu yote yamefanywa na hao hao CCM?...

2020 hii hapa kwenye kona na wasidhani kama ni mbali.
"Sasa wewe ni mtu gani usiyetaka kukosolewa?unadhani una undugu na yesu eh? Ney true boy voice.
 
Kuna watu wana Dhambi kumzidi shetani! Lkn hawaishi kujifanya wanyenyekevu mbele za watu! Ipo siku watakinywea kikombe chao mbele ya mtoa haki Mkuu!
 
Dhana ya Uzalendo Tanzania hivi sasa imebadilika... anyway, niseme imebadilishwa!!

Ukisikia serikali na makuwadi wao wanazungumzia suala la uzalendo basi wanamaanisha uzalendo ni kuunga mkono jambo lolote toka kinywani mwa serikali na chama chake hata kama jambo lenyewe ni la kijinga!!!

Kama jambo ni la kijinga, na wenyewe wanajua kabisa kwamba hili jambo ni la kijinga, basi tafiri yao ya uzalendo inataka uliunge mkono jambo hilo ili nawe uwe sehemu ya ujinga huo. Ukipinga kwavile haupo tayari kuwa sehemu ya wajinga, hapo utaambiwa wewe si mzalendo!!!

Jambo hata kama lina maslahi makubwa kwa taifa, lakini serikali hailitaki jambo hilo, basi wewe ukipigania suala husika pia utaonekana sio mzalendo!! Hapa tena watataka upinge suala lenye maslahi kwa taifa ili sehemu ya wajinga!!!

Wasichofahamu watu hawa ni kwamba suala la uzalendo halina uhusiano wowote na serikali! Uzalendo ni loyalty ya mtu kwa nchi yake na sio serikali yake!!

Kama unaamini serikali inatenda jambo la kijinga linaloweza kuhatarisha maslahi ya taifa, Mzalendo wa Kweli atapambana na serikali kuhakikisha jambo hilo halifanikiwi... ikibidi hata through sabotaging it!!!

Mzalendo huyu katu hatajali nafasi yake kwa jamii kwa sababu kwake yeye, Nchi Kwanza Mengine Baadae!! Which means, hata Waziri Mkuu kama ni Mzalendo wa Kweli anaweza kupingana na serikali ambayo yeye ndie Mtendaji Mkuu kwa sababu tu maslahi ya taifa ni jambo kubwa kwake kuliko kuwa Waziri Mkuu!!!

Kwa maana nyingine, atakuwa tayari hata kupoteza nafasi yake ya Uwaziri Mkuu, uanachama wake ndani ya chama tawala na hatimae hata ubunge wake!

Kwa bahati mbaya sana, HAKUNA HATA MMOJA miongoni mwa wale wanaojitia uzalendo ambae anaweza kufanya hayo!!

Hata yule anayetaka tumuone Mzalendo Mkuu nae hana kabisa sifa hiyo kwa sababu nae ni miongoni mwa wale waliokuwa wanaiona nchi ikitafunwa mbele yao na hakupata hata mara moja kuwakemea wenzake!!
 
Hii ni hoja ambayo wengi sana wanairuka, hawaioni au hawaijui

Masheikh kukamatwa si tatizo ikiwa kuna makosa wanayotuhumiwa kuyatenda
Hayo yanatokea mbele ya mkondo wa sheria

Kuwafikisha mahakamani ni haki, kusiklizwa kesi ni haki na hukumu ya mwisho ni haki
Haki hiyo ni kwa mtuhumu na mtuhumiwa na ndivyo sheria inavyosema

Kuwashikilia pekee kama inavyosemwa bila kuwafikisha mahakamani kwa muda uliopo ni kutoa 'haki' kwa mtuhumu na ''kumnyima haki'' mtuhumiwa bila kufuata mkondo wa sheria tuliokubaliana utuongoze kisheria

Tatizo linaloanza kujitokeza ni kuchukua kesi ya Uamsho ambayo ni matatizo ya Zanzibar, halafu kuifanya sehemu ya matatizo mengine yanayojitokeza huku bara.

Kama kuna uhusiano wa tuhuma za awali na ushahidi mwingine unaoendelea kupatikana ni haki vyote vikafikishwa mbele ya sheria ili haki itendeke kwa mtuhumu au mtuhumiwa.

Kwa bahati mbaya kauli zinazotolewa zimeondoa hoja ya msingi na kuamsha hisia
Tafsiri ya kila mmoja kwa mwenendo na kauli zilizopo inaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wa kila mmoja

Ikifika hapo kuna tatizo, tutakuwa watu milioni 45 kila mmoja akitazama jicho lake linapopenda na si kule sote tunakotakiwa tuelekee kama taifa

Laana nyingine kwenye TAIFA tunapata kutokana na kutotenda HAKI.Hili la hawa UAMSHO linatakiwa libebwe kwa HEKIMA na BUSARA,tunakoenda tuanenda kuigawa TANZANIA kwenye issue za kidini.
 
Asante sana Mkuu.

Ukijia kupinga hata suala la kijinga la kuzuia watoto wasirudi shule baada ya kujifungua nawewe pia utaonekana si mzalendo.

Nimepata elimu kubwa sana kutoka kwako hasa ulipoclarify dhana nzima ya uzalendo.

Shukran.
Dhana ya Uzalendo Tanzania hivi sasa imebadilika... anyway, niseme imebadilishwa!!

Ukisikia serikali na makuwadi wao wanazungumzia suala la uzalendo basi wanamaanisha uzalendo ni kuunga mkono jambo lolote toka kinywani mwa serikali na chama chake hata kama jambo lenyewe ni la kijinga!!!

Kama jambo ni la kijinga, na wenyewe wanajua kabisa kwamba hili jambo ni la kijinga, basi tafiri yao ya uzalendo inataka uliunge mkono jambo hilo ili nawe uwe sehemu ya ujinga huo. Ukipinga kwavile haupo tayari kuwa sehemu ya wajinga, hapo utaambiwa wewe si mzalendo!!!

Jambo hata kama lina maslahi makubwa kwa taifa, lakini serikali hailitaki jambo hilo, basi wewe ukipigania suala husika pia utaonekana sio mzalendo!! Hapa tena watataka upinge suala lenye maslahi kwa taifa ili sehemu ya wajinga!!!

Wasichofahamu watu hawa ni kwamba suala la uzalendo halina uhusiano wowote na serikali! Uzalendo ni loyalty ya mtu kwa nchi yake na sio serikali yake!!

Kama unaamini serikali inatenda jambo la kijinga linaloweza kuhatarisha maslahi ya taifa, Mzalendo wa Kweli atapambana na serikali kuhakikisha jambo hilo halifanikiwi... ikibidi hata through sabotaging it!!!

Mzalendo huyu katu hatajali nafasi yake kwa jamii kwa sababu kwake yeye, Nchi Kwanza Mengine Baadae!! Which means, hata Waziri Mkuu kama ni Mzalendo wa Kweli anaweza kupingana na serikali ambayo yeye ndie Mtendaji Mkuu kwa sababu tu maslahi ya taifa ni jambo kubwa kwake kuliko kuwa Waziri Mkuu!!!

Kwa maana nyingine, atakuwa tayari hata kupoteza nafasi yake ya Uwaziri Mkuu, uanachama wake ndani ya chama tawala na hatimae hata ubunge wake!

Kwa bahati mbaya sana, HAKUNA HATA MMOJA miongoni mwa wale wanaojitia uzalendo ambae anaweza kufanya hayo!!

Hata yule anayetaka tumuone Mzalendo Mkuu nae hana kabisa sifa hiyo kwa sababu nae ni miongoni mwa wale waliokuwa wanaiona nchi ikitafunwa mbele yao na hakupata hata mara moja kuwakemea wenzake!!
 
Big shaw ndugu yangu kuna watu hua by nature au kutokana na makuzi ya aina fulani hua wanakua ma sadists na furaha yao ni kuona wenzao wanateseeka na kusikia maumivu hapo wao ndio hupata ile maximum pleasure ambayo hua tunaipata wakati tunakaribia kupiga bao kwenye sita kwa sita...... sitaki kuandika zaidi nisije mfuata swahiba wangu Ben Saanane huko akhera alipotangulizwa
 
Bruce lee.

Wala usiendelee Mkuu.

Mimi nimekuelewa vizur kabisa.

Kuna shida
Big shaw ndugu yangu kuna watu hua by nature au kutokana na makuzi ya aina fulani hua wanakua ma sadists na furaha yao ni kuona wenzao wanateseeka na kusikia maumivu hapo wao ndio hupata ile maximum pleasure ambayo hua tunaipata wakati tunakaribia kupiga bao kwenye sita kwa sita...... sitaki kuandika zaidi nisije mfuata swahiba wangu Ben Saanane huko akhera alipotangulizwa
 
Mkuu THE BIG SHOW leo umetoa uzi wenye busara na hekima ya hali ya juu sana kuanzia leo nimekuweka kwenye kundi la kina Informer na wengine wa aina hiyo, ni lazima tumwambie ukweli huyu Ndugu yetu kama anavyosemaga yeye kuwa nitasema kweli daima, hatutaki udikteta kwenye nchi yetu
 
Mkuu THE BIG SHOW leo umetoa uzi wenye busara na hekima ya hali ya juu sana kuanzia leo nikuweka kwenye kundi la kina Informer na wengine wa aina hiyo, ni lazima tumwambie ukweli huyu Ndugu yetu kama anavyosemaga yeye kuwa nitasema kweli daima, hatutaki udikteta kwenye nchi yetu
Huyu kuambiwa tu hakutoshi , ni lazima hatua zichukuliwe .
 
Kama kweli anakosa washaur au hashauriki basi kiukweli kabisa hata juhud anazoclaim kuzifanya za kupambana na ufisadi atazinajisi na design yake ya utawala.

Kwan yeye anatakaje?asifiwe tuh na akikosolewa basi ni kukosa uzalendo...kweli?haya mambo sana sana utayaona katika nchi kama ya kagame na museveni tuh...lakin kwa nchi kama hiii ambayo gurudum la demokrasia limeshika hatamu ni vigumu sana...na ataona kama anapingwa huku akijiona ana dhamira njema ila kutokana na hii hulka yake ya kutaka kulazimishwa kusifiwa kwa kila kitu...

Wale masheikh wala hawakuwa wanatetea uislam wala kupigania dini na ugaidi...

Mimi nilikuwa wa kwanza kuchukizwa na uamsho kutumia mwamvuli wa dini katika kudai zanzibar yao na kuhoji kero za muungano kipindi kile...

Yes hawakuwa sahihi na kama dola ikawatia hatiani ni vyema sasa watu wale wakafikishwa mahakani wakasomewa mashitaka yao na kama wakiwa na hatia basi na wapewe kifungo chao....lakin kuendelea kuwashikilia without trial ni makosa hata katika mahakama za kimataifa

Na ndiyo mambo hayo hayo yalimpelekea obama kupiga domotupu la kutaka kuifunga guantanamo..
Ajabu leo waja kuifananisha guantanamo na segerea na kuisifu kana kwamba ni jambo linalofaa...

Vyama vya upinzan dhamira yao nao ni kushika dola...siyo kusifia chama tawala wala kupongeza...

Chama tawala kifanye majukum yake na sisi wananchi tuna akili timamu tutaona...

Wapinzan nao kama wakikaa kupiga domo tupu na kelele sisi wapiga kura tuna akili na macho tunaona na tutawahukumu...

Lakini hii style ya kamata kamata..tishana tishana...vijembe na kuhutubiana kwa ukali kana kwamba mtu anaongea na watoto wake inakera sana...

Na why iwe one man show?...kama dhamira ya kweli ipo kwanin katiba ya warioba isisimikwe tukaiona hiyo dhamira yenyewe?...

Kuongoza dola ni pamoja na kukubali kukosolewa...na si kila anaekosoa basi eti amekosa uzalendo...

After all what kind of uzalendo is he talking about ili hali haya madudu yote yamefanywa na hao hao CCM?...

2020 hii hapa kwenye kona na wasidhani kama ni mbali.
Teachers would like to treat every body like their students
 
Siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanavyozidi kuona.

You can fool some people for some time, but you can't fool all the people all the time.

Especially if you are ******** yourself.
 
Back
Top Bottom