Kuwa na digrii mbili Tanzania inawezekana??

Ragna

Member
Jan 22, 2017
50
16
Nimekaa nimewaza kutokana na mifumo yetu ya elimu ya juu inawezekana mtu kuwa na bachelor(degree) mbili ambazo amezisotea zote kwa miaka 3 au 4 kila mojawapo ambazo ni tofauti na postgraduate au masters or PhD.
Natanguliza salaam kwanza.
 
Ni jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
 
Huyo jamaa ni noma anataka kuwa Robert Mugabe....mkuu sasa kama ulikua ni mnufaika wa mkopo kutoka bodi si unatakiwa urudishe mkopo wao kwanza hili uweze kuendelea na hio degree nyingine..huyo engineer alifanyaje yeye.?
 
Ni jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
Huyo jamaa hawezi kuwa na akili timamu
 
Bosi atamwambia kwa sasa wanahitaji nesi
 
Nimekaa nimewaza kutokana na mifumo yetu ya elimu ya juu inawezekana mtu kuwa na bachelor(degree) mbili ambazo amezisotea zote kwa miaka 3 au 4 kila mojawapo ambazo ni tofauti na postgraduate au masters or PhD.
Natanguliza salaam kwanza.
Inawezekana mimi nina BA(ed) ya udsm,sasa hivi napiga LLB.
 
Ni jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
Wehu siyo lazima uokote makopo Bali hata unapokosa kujua nini inahtaji, wapi uelekee na pia kutojua kuwa umri unakwenda
 
INAWEYEKANA, NI MUDA NA PESA TU. KWA MFANO MIMI WAKATI NASOMA MZUMBE DEGREE YA KWANZA NA WAKAT HUOHUO NILIKUWA NASOMA BACHELOR DEGREE YA FANI NYINGNE OPEN UNIVERSITY.

INABIDI UWE SHAPU SHAPU KAMA WANANCHI WA KISHAPU NA MBUNGE WAO SHAPU ANAYEFANYA KAZI SHAPU KWA AJILI YA WANANCHI SHAPU WA KISHAPU.
 
kuna mzee namfahamu anazo masters 2 kwa taaluma mbili tofauti na PHD moja. ( yaani degree 2, masters 2, phd 1)
 
INAWEYEKANA, NI MUDA NA PESA TU. KWA MFANO MIMI WAKATI NASOMA MZUMBE DEGREE YA KWANZA NA WAKAT HUOHUO NILIKUWA NASOMA BACHELOR DEGREE YA FANI NYINGNE OPEN UNIVERSITY.

INABIDI UWE SHAPU SHAPU KAMA WANANCHI WA KISHAPU NA MBUNGE WAO SHAPU ANAYEFANYA KAZI SHAPU KWA AJILI YA WANANCHI SHAPU WA KISHAPU.
Aliyedai ipad bunge la katiba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom