Huyo jamaa ni noma anataka kuwa Robert Mugabe....mkuu sasa kama ulikua ni mnufaika wa mkopo kutoka bodi si unatakiwa urudishe mkopo wao kwanza hili uweze kuendelea na hio degree nyingine..huyo engineer alifanyaje yeye.?Ni jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
Sawa mkuuNi muda wako tu na fedha yako kulingana na ufaulu wako!
Huyo jamaa hawezi kuwa na akili timamuNi jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
Ni jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
Watu awataki mchezo na kazi zao.Bosi atamwambia kwa sasa wanahitaji nesi
Inawezekana mimi nina BA(ed) ya udsm,sasa hivi napiga LLB.Nimekaa nimewaza kutokana na mifumo yetu ya elimu ya juu inawezekana mtu kuwa na bachelor(degree) mbili ambazo amezisotea zote kwa miaka 3 au 4 kila mojawapo ambazo ni tofauti na postgraduate au masters or PhD.
Natanguliza salaam kwanza.
Huyo naye ni robot,kwanini asome kwa kuambiwa na boss?Huyo jamaa hawezi kuwa na akili timamu
Wehu siyo lazima uokote makopo Bali hata unapokosa kujua nini inahtaji, wapi uelekee na pia kutojua kuwa umri unakwendaNi jambo dogo tu na wengi wanaweza. Kuna jamaa alifanya Advance Diploma ya IT wakati ana FTC ya Mechanical, mwajiri wake akasema haina msaada kwao, jamaa akaona isiwe tabu akapiga B.Eng Mechanical, mwajiri akamwambia kwasasa hatuna nafasi za mhandisi wa mitambo, tunahitaji zaidi watu wa umeme. Basi jamaa kagonga tena B.Eng Electrical, sasa anamsikilizi mwajiri atasema nini safari hii.
Aliyedai ipad bunge la katibaINAWEYEKANA, NI MUDA NA PESA TU. KWA MFANO MIMI WAKATI NASOMA MZUMBE DEGREE YA KWANZA NA WAKAT HUOHUO NILIKUWA NASOMA BACHELOR DEGREE YA FANI NYINGNE OPEN UNIVERSITY.
INABIDI UWE SHAPU SHAPU KAMA WANANCHI WA KISHAPU NA MBUNGE WAO SHAPU ANAYEFANYA KAZI SHAPU KWA AJILI YA WANANCHI SHAPU WA KISHAPU.
Kumbe wewe ni mwanafunzi wa sheria!!!Inawezekana mimi nina BA(ed) ya udsm,sasa hivi napiga LLB.