Kuwa na akiba ya foreign currency

Thank you for your response. However, I may be highly likely guessing right that you missed the info of US becoming a high risk borrower! US dept is irreparable!!! Read this below while regarading the unpredictability of the US future economic trends. The unpredictability of US economic trend is due to the US government being obssessed to the so called “off-balance-sheet” liabilities.
===
An Overlooked Way to Reduce the U.S. Debt While Boosting Growth
I haven't been around for a while. Anyway, the truth of the matter is the credit worthiness of a country can be measured and determined. So far, all credit agencies confirm that the US is a top notch borrower. So the risk you have mention above does exist, albeit remotely.
 
Uzuri wake ni kuwa nchi ikipitia depression pesa yako haitapoteza thamani. Unaweza kuhifadhi kwa Japanese Yen, British £ au USA $ au hata €.

Si lazima uwe na ma hela, hizi 40,000 au laki unaibadilisha foreign currency na ku deposit au kuweka kwenye kububu.

Kwa utaratibu wa bank zetu hii imekaaje?
Ni jambo zuri kwa vile hela yetu huporomoka gharama kila mwaka, no gain.

Kuweka akiba kubwa kwa madafu ya hapa kwetu ni kupoteza thamani yake kila mwaka. Vinginevyo kuhifadhi kwa pesa ya kigeni au kuihifadhi kwa njia ya assets.
 
Uzuri wake ni kuwa nchi ikipitia depression pesa yako haitapoteza thamani. Unaweza kuhifadhi kwa Japanese Yen, British £ au USA $ au hata €.

Si lazima uwe na ma hela, hizi 40,000 au laki unaibadilisha foreign currency na ku deposit au kuweka kwenye kububu.

Kwa utaratibu wa bank zetu hii imekaaje?
Ungeshauri Bank of Tanzania waanze kuuza gold bullions, yaani kuanzia 1 ounce hadi kilos etc kutokana na uwezo wako. Bei ya gold ipo kama US 2000.00 kwa ounce moja hivi sasa.

Gold beats tourism to become Tanzania’s leading foreign exchange earner
 
Nje kidogo, kwanini mataifa makubwa yanatunza maelfu ya tani za dhahabu ikiwa tunatumia fedha ambazo hazidhaminiwi na dhahabu(fiat money)?. Yanatarajia ipo siku itatubidi kurudi kwenye fedha zinazodhaminiwa na dhahabu?
 
Back
Top Bottom