Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,272
Uzuri wake ni kuwa nchi ikipitia depression pesa yako haitapoteza thamani. Unaweza kuhifadhi kwa Japanese Yen, British £ au USA $ au hata €.
Si lazima uwe na ma hela, hizi 40,000 au laki unaibadilisha foreign currency na ku deposit au kuweka kwenye kububu.
Kwa utaratibu wa bank zetu hii imekaaje?